GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita.

Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi.

Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana.

Najua sana sana mwisho wa mwezi dec kuelekea januari.
 
Broo nabarikiwa Sana na nyuzi zako hongera, Kwa KAZI kubwa na nzuri ya kuhubiri injili ya Haki, ilikuwa kila nikiingia jf nakutana na nyuzi za machawa ila baada ya kugundua namna ya kuwablock wao na nyuzi zako sasa hivi mambo bulbul
 
Safi kabisa, tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom