Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

Siku zote huwa nasema aliyemteua Nape hana akili . Kabisaa inamuweka form four failure aongoze Wizara ya technologia kwa hali ilivyo sasa kila nchi inapambana kuendana na teknologia.. angalia sera za Elimu . Syllabus za kijinga mchepuo ya kijinga inaongezwa wao wanaongeza mambo ya Dini . dini inasaidia nini? Kenya wameanza fundisho watoto mambo computer language .. viongozi wanapigana ofisini kuongea na makampuni makubwa kuwekeza kushirikiana .. huku kijana wa chuo unamkuta anakuita Chawa wa Mama . Sijui ujinga ujinga ukiangalia kwao ni masikini anawaza uteuzi ambao hawezi kuupata nasikitika sana Taifa hili linaenda wapi? Miaka 10 ijayo Tanzania itauaje? Viwanda vya ndani ujuzi wa kuwajengea wananchi haupo kutwa uchawa .. Nape hafai sana hapo alipo hizi Teuzi za kuegemea usiasa ni Ujinga. Sana ndio maana vijana wanakimbilia ulaya sasa hivi
 
Mmeanza kuleta usimba na uyanga hadi huku, kwani kenya wakifanya kitu ni lazima na sisi tufanye?

Cha msingi ni viongoz wetu wajifunze kubuni namna bora yakuleta maendeleo...
Waache kuja na project za kuchumia tumboni..
 
KAHABA KAUA WAMASAI KWA KUWAKARIBISHA MAGAIDI YA KIARABU HADI KWENYE BANDARI...hivyo nchi za mabeberu zimeiweka tanzania katika kundi la magaidi watazamiwa.
Dah..
Sisi tumekabidhi bandari, mbuga za wanyama, misitu, airport ya KiA, tunabadili mitaala ya shule kusimika somo la Dini,...
Haya mambo hayatuachi salama
 
Tulionao unatosha, yaani nchi ijae mawaya kila sehemu, huu wa kwetu ni salama, hautatumiwa na CIA, Mossad na MI6 kunyofoa taarifa. Google wana tabia ya kudukua taarifa na kuzipeleka kwenye mashirika hayo ya kijasusi zikachakatwe, halafu wanalipwa

Tunahitaji internet ya bei nafuu wanafunzi waweze kutumia mashuleni LAKINI PIA ni backup moja ikipata changamoto kwani internet inaenda kuwa backbone ya uchumi.. Dunia inakimbia .....tutaachwa!!!!!
NYERERE ALIKUWA NA AKILI SANA KUKUBALI VYAMA VINGI PAMOJA NA WENGI KUPINGA KWANI ALIJUA WENGI HAWANA UELEWA WOWOTE!!!
 
Msijali ndugu watanzania. Waarabu watajenga kuunganisha Tanzania, Somalia, Madascar na Misri
 
Kama mkongo unafika Kenya ina maana mqqna extension ya kufika Tanzania inawezekana kutokea Kenya, DRC, Rwanda, Zambia etc...

Ni kama kwa sasa ambavyo Malawi au Rwanda tunavyowapelekea internet kupitia mkongo wa NICTBB uliounganishwa na ile mikongo ya Seacom na Eassy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…