Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.

Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.

Brave inadai makampuni husika wanaweka kwenye mnada taarifa inazokusanya na kusambaza taarifa binafsi zaidi ya ambazo zinaweza kuwa kwenye lengo la kutangaza kama jinsia ambazo mhusika anapendezwa nazo, rangi na mitazamo ya kisiasa ya watumiaji wao hivyo kuvunja kanuni za GDPR

Ukiukaji wa aina hii huadhibiwa vikali kwa faini inayofikia hadi asilimia 4 ya mapato yanayotokana na mauzo ya kampuni husika.

Mwezi May pia makampuni ya mitandao yalifunguliwa kesi zikidaiwa kukiuka kanuni hizo hizo
 
1658214930888.png

Back
Top Bottom