Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan.
Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi.
Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly.
Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona kabisa aina ya uonevu wanaokwenda kukutana nao kwa Al Ahly.
Hii michuano haina malengo mazuri na timu zinazojitafuta.
Asanteni Wakenya kwa kujaribu, Mwendo mmeumaliza.