- Thread starter
- #41
Sio msimu huu wala msimu ujao.Msiwacheke sana, hao wametuzidi rank za FIFA pamoja na kuwa walifungiwa muda mrefu. Kenya wakikaa vizuri, Simba na Yanga zitapata ushindani wa kweli kwa ukanda huu.
Club wise sisi tuko vizuri sana yaani.
Kwa mchezo wa hawa Gor Mahia wakija hapa TZ watakalishwa na timu kibao yani!!
Hawa akina Namungo watajipigia tu.
Kuna mtu ametuma link ya highlight ya game yao ya jana.
Itazame uone.