Kina nani sasa? hawa wakenya mwendo wameumaliza kwa haraka sanaJmaa wanaongea sana
🤣🤣🤣 aiseee kujipata syo rais goja tusubr wanaweza wakauwangusha mti kwa kungata na menoNimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan.
Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi.
Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly.
Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona kabisa aina ya uonevu wanaokwenda kukutana nao kwa Al Ahly.
Hii michuano haina malengo mazuri na timu zinazojitafuta.
Asanteni Wakenya kwa kujaribu, Mwendo mmeumaliza.
Mbaya zaidi wanaanzia nyumbani, wanahitimishia ugenini.🤣🤣🤣 aiseee kujipata syo rais goja tusubr wanaweza wakauwangusha mti kwa kungata na meno
September 16: 2024sangapi mechi
Hivi hili jukwaa la michezo wale jamaa wakenya huwa hawafiki kabisa?
Tuwaombee majran zetuMbaya zaidi wanaanzia nyumbani, wanahitimishia ugenini.
Bado wanakamwendo kwa kweli.
Wakenya ...Kina nani sasa? hawa wakenya mwendo wameumaliza kwa haraka sana
Wakitoboa itakuwa moja ya maajabu saba ya Dunia.Tuwaombee majran zetu
Wanachojua wao ni kujiona wanakiweza Kiingereza tuWakenya ...
🤣🤣🤣 👍🏻nmejarbu kukuelewa sema bx dah!Wakitoboa itakuwa moja ya maajabu saba ya Dunia.
Jaribu kuangalia namna wanavyocheza, Vital'O wazuri
😂😂sangapi mechi
Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan.
Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi.
Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly.
Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona kabisa aina ya uonevu wanaokwenda kukutana nao kwa Al Ahly.
Hii michuano haina malengo mazuri na timu zinazojitafuta.
Asanteni Wakenya kwa kujaribu, Mwendo mmeumaliza.
Aisee, ngoja huyu mjamaa aone hii comment hahaaa MK254Wanachojua wao ni kujiona wanakiweza Kiingereza tu
Jirani wana kazi sana kujitafutaNipo na al ahly
Piga hao wañaovuruga amani ya nchi