Gor Mahia FC Vs Al Ahly FC : CAFCL | Football Torturing.

Al ahly ni mstaarabu sana..hanaga tabia ya kuzifunga timu goli nyingi.

Gormahia atatoa sare kenya. Ila misri atafungwa 2 - 0 tu.

Gor mahia Atatoka kwa kujisifia ametolewa kiume
Dah hahaaa, mimi nawaza atapigwa tatu😄
 
Al ahly ni mstaarabu sana..hanaga tabia ya kuzifunga timu goli nyingi.

Gormahia atatoa sare kenya. Ila misri atafungwa 2 - 0 tu.

Gor mahia Atatoka kwa kujisifia ametolewa kiume
Wakikutana na timu kama Simba au Azam Watakula mvua yakutosha kabisa.
 
kichapo dabo dabo
 
Mimi nilivyoona el Merreikh wamefungwa goli tano nikajua El Merreikh ile yenyewe yenyewe nikasema Gormahia wamejipata. Kumbe kawafunga wale wanakotoka Zalan fc
 
Mimi nilivyoona el Merreikh wamefungwa goli tano nikajua El Merreikh ile yenyewe yenyewe nikasema Gormahia wamejipata. Kule kawafunga wale wanakotoka Zalan fc
Maajabu hao El Merreikh ni mabonge hasa!! kuna yule straiker wao ni kijeba huyo balaa sana
 
Gormahia kwa Ahly hata mechi zote mbili wangecheza Kenya habari ingekuwa ile ile tu
Mwendo wameumaliza hao wajipange mwakani tena
Mwakani kwa bahati mbaya wanaangukia Simba au Yanga, at least wanaweza kupata ahueni ila kutoboa ndio bado kabisa
 
mimi nitaitisha mgomo waache huo mchezo mende akikuzoea atakufuata kitandani. wapige nyundo watazoea
yaanii mchezo nyundo hata akiwa sisimizi
Wanatabia flani hivi yakutotaka kutumia nguvu nyingi kwenye michezo yao
 
Msiwacheke sana, hao wametuzidi rank za FIFA pamoja na kuwa walifungiwa muda mrefu. Kenya wakikaa vizuri, Simba na Yanga zitapata ushindani wa kweli kwa ukanda huu.
 
Al ahly ni mstaarabu sana..hanaga tabia ya kuzifunga timu goli nyingi.

Gormahia atatoa sare kenya. Ila misri atafungwa 2 - 0 tu.

Gor mahia Atatoka kwa kujisifia ametolewa kiume
Ninachowapendea Al Ahly ni hiko, hawapendi kujichosha bila sababu. Wanacheza kwa malengo, yakitimia wanatulia. Tunabaki kusema ni unga, mwisho wa siku makombe wanabeba wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…