Gor Mahia FC Vs Al Ahly FC : CAFCL | Football Torturing.

Msiwacheke sana, hao wametuzidi rank za FIFA pamoja na kuwa walifungiwa muda mrefu. Kenya wakikaa vizuri, Simba na Yanga zitapata ushindani wa kweli kwa ukanda huu.
Sio msimu huu wala msimu ujao.

Club wise sisi tuko vizuri sana yaani.

Kwa mchezo wa hawa Gor Mahia wakija hapa TZ watakalishwa na timu kibao yani!!

Hawa akina Namungo watajipigia tu.

Kuna mtu ametuma link ya highlight ya game yao ya jana.

Itazame uone.
 
Ninachowapendea Al Ahly ni hiko, hawapendi kujichosha bila sababu. Wanacheza kwa malengo, yakitimia wanatulia. Tunabaki kusema ni unga, mwisho wa siku makombe wanabeba wao.
For the last two season Watanzania wamewapa funzo zuri tu
 
Mimi nilivyoona el Merreikh wamefungwa goli tano nikajua El Merreikh ile yenyewe yenyewe nikasema Gormahia wamejipata. Kule kawafunga wale wanakotoka Zalan fc
Wanafurahisha sana.
Hawana mpira wowote ule!!
 
Sema kwenye mpira wa miguu ngazi ya vilabu, Wakenya wenyewe wanatukubali kuwa tumewaacha mbali. Hilo naona wansonesha kabisa kukubali
Kuna mdau hapo juu anadai wanajidai na kingereza chao tu
 
Gor Mahia, rest in peace our dear brothers! Kiufupi tu hamna uwezo wa kuwatoa Al Ahly (Bingwa mtetezi)!! Al Ahly is not Marathon or Gen Z, ok?
 
Al ahly hana tabia ya kukomoa timu nyonge.. ameshaona haina faida yoyote. Hivyo huwa hajishoshi kumfunga mtu goli nyingi...yeye anaweka nguvu kwenye kubeba kombe lenyewe tu
Wapeni moyo tu mwenzie saint George alikula aggregate ya 7-0 msimu uliopita. Inabidi wacheze kwa kupunguza magoli, kuna timu inaitwa Atlabara ilipigwa 13 na hao hao Al Ahly.
 
Bora tukikutana na team ya Tanzania tunaipiga. Iyo ndio faraja yetu
 
nitashabikia al ahly. kwa moyo safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…