Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gospel zinaburudisha😀😀 Nawe umo!
My forever tune
😂😂😂🙌🙌🙌 Heshima kwako mkuu na huku umefika🏃🏃🏃Mungu wangu! Kweli shetani akizeeka anakuwa malaika![emoji23][emoji23][emoji23] basi namimi natupia kuunga mkono juhudi
Bwana sema na moyo wangu![emoji2827][emoji1545]View attachment 1835172
Kitabu Cha nyimbo za Injili, unanikumbusha mbali sana, unakuta viwanja vya jangwani kumesheheni hapo Yupo Dr Moses Kulola daah ikiimbwa hii nyimbo unaweza kudhani Yesu ndio anarudiEeh Bwana uniinue.. Kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe ..
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni eeh Bwana unitazame...![emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Tulia wewe hujui Kuna muinjilisti humu nataka nimtokee..🤣Mungu wangu! Kweli shetani akizeeka anakuwa malaika![emoji23][emoji23][emoji23] basi namimi natupia kuunga mkono juhudi
Bwana sema na moyo wangu![emoji2827][emoji1545]View attachment 1835172
Moyo wangu kaa kimya😍😍😍Kila siku kabla sijalaa lazma niskilize wimbo wa moyo wangu wa Patrick kubuya naupenda sana
Tunakombolewa kwa neema tu mkuu..kumbuka neno linasema hivi kwenye Isaya 1: 18[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Heshima kwako mkuu na huku umefika[emoji125][emoji125][emoji125]
Hapo umemaliza mkuu Sina swali Mungu akulinde Hadi ushuhudie katiba mpya🙌🙌🙌Tunakombolewa kwa neema tu mkuu..kumbuka neno linasema hivi kwenye Isaya 1: 18
Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Nashindwa kuzipandisha.Usijibane jiachie dada wa watu hapa haziletwi zile za kidunia tu..🤣