Gospel unazozipenda

Gospel unazozipenda

Tulia wewe hujui Kuna muinjilisti humu nataka nimtokee..[emoji1787]

Humu fanya kutulia kule kwengine kuumana kupo palepale..
Duh.. Nikajua roho mtakatifu amekushukia[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815]Ona mwenzako huyu kilichompata[emoji23][emoji23][emoji2996][emoji2996][emoji2996]
 
Bulyankulu Barabara ya 13 Mungu awabariki sana mnanifanyaga niamini kuwa mliitwa kuja Tanzania kuhubiri na sio ukimbizi😍😍😍😍
Kuna wenzao wanaitwa Mapigano Ulyankulu Tabora....waliifanya kazi ya Injili kwa moyo mmoja
 
Hapo umemaliza mkuu Sina swali Mungu akulinde Hadi ushuhudie katiba mpya[emoji119][emoji119][emoji119]
Aamen njoo kwa Yesu mpendwa (it's not a joke) kuna raha furaha na amani ya kweli...kumbuka sisi hapa ni wapitaji tuu bali makao yetu ya milele yako kule Mbinguni kwa Baba
 
Back
Top Bottom