Governer George Natembeya Wins Big: Court Yatupilia Mbali Charges, Apewa Sh2.5M for Rights Violation”

Governer George Natembeya Wins Big: Court Yatupilia Mbali Charges, Apewa Sh2.5M for Rights Violation”

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
High Court imetupilia mbali kesi ya ufisadi dhidi ya Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ikisema uchunguzi uliofanywa ulikiuka katiba.

Justice Bahati Mwamuye aliamua kuwa maafisa wa Ethics and Anti-Corruption Commission walikiuka haki za gavana wakati wa kumkamata, hasa kwa kumkatalia access ya wakili mara moja, jambo lililodhoofisha haki yake ya fair trial.

Mahakama pia ilikosoa namna uchunguzi ulipata M-Pesa records zake, ikisema haukufuata sheria za faragha na ushahidi huo haukupatikana kisheria.

Kutokana na hayo, mahakama ilisema mashtaka hayo yalikuwa abuse of court process, na ikazuia Office of the Director of Public Prosecutions kuendelea na kesi hiyo.

Mwisho, court ilimpa Natembeya fidia ya Sh2.5 million kwa kukiukwa kwa haki zake za kikatiba.

Source: eastleighvoice.co.ke
 
Back
Top Bottom