Governor wa Mombasa kumleta Nicki Minaj baada ya Chris Brown

Governor wa Mombasa kumleta Nicki Minaj baada ya Chris Brown

waislamu juzi tu walimfungulia thread Diamond kumlaumu kwa kuvaa kanzu/ mavazi ya kiislamu sehemu zenye bia, haya sasa Ali Hassan Joho nae analeta wasanii wanaoimba nyimbo za kishetani wakati yeye ni muislamu.
Astakfirulah ladhim huu unafki wa waislamu huu.
 
Niki minaji is killing me softly

Yule muhuni wa Philadelphia nanuonea wivu sana
 
Back
Top Bottom