Akili zako ndio zimekutuma hivyonasikia treni la umeme.....huku naona kama kale ka mgao kanaendelea! labda tutakawekea betri za ABC au zile za national !!!
Kuna kila dalili kwamba hufuatilii mambo kwa undani, au unajiliwaza tu, Burundi almost 98% ya cargo inapitia Dar, Rwanda above 80% inapitia Dar, SGR ikikamilika hadi Kigali na Bujumbura, 100% tunategemea cargo kupitia Dar.time will tell...all Uganda, South Sudan cargo tumenyakua...Rwanda, DRC na Burundi pia hatuwaachi...we will share those 3 countries..
Acha hizo, mshindani wako akikufuata usichukue blanketi na kujifunika,toka pambana kwa njia yoyote shida yetu ni uchumi,Tatizo lenu ni vilaza sana!
Action of ur competitor should have reaction on your plan!
Ukiona Kenya wanaimarisha Miundombinu Yao ya Reli ujue lazima itaathiri plan zetu za ku save Jirani zetu ambao tunagombania Wateja na Kenya!
kweli kabisa,,Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Acha hizo, mshindani wako akikufuata usichukue blanketi na kujifunika,toka pambana kwa njia yoyote shida yetu ni uchumi,