Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

nasikia treni la umeme.....huku naona kama kale ka mgao kanaendelea! labda tutakawekea betri za ABC au zile za national !!!
 
nasikia treni la umeme.....huku naona kama kale ka mgao kanaendelea! labda tutakawekea betri za ABC au zile za national !!!
Akili zako ndio zimekutuma hivyo
Juzi hujaona Mitambo mikubwa ikipitishwa barabarani kuelekea Kinyerezi!!?
Kupanga nikuamua
Treni ni ya umeme nalazima umeme uwepo kuiendesha Treni hiyo
maana mirandi ya umeme inaendelea sambamba na Mradi huo wa Reli
 
time will tell...all Uganda, South Sudan cargo tumenyakua...Rwanda, DRC na Burundi pia hatuwaachi...we will share those 3 countries..
Kuna kila dalili kwamba hufuatilii mambo kwa undani, au unajiliwaza tu, Burundi almost 98% ya cargo inapitia Dar, Rwanda above 80% inapitia Dar, SGR ikikamilika hadi Kigali na Bujumbura, 100% tunategemea cargo kupitia Dar.
Battle ground ipo Uganda pekee kw sababu 80% inapitia Mombasa, only 20% inapitia Dar, tupo kwenye kupandisha hii 20% hadi ifikie 40 -50%, Tanzania imeamua kujenga rail toka port of Bell upande wa uganda hadi Kampala kwa pesa yake, na kutengeneza meli inayoingeza train wagons ili kupunguza gharama za off and loading cargo kutoka bandari ya Mwanza.
 
Tatizo lenu ni vilaza sana!

Action of ur competitor should have reaction on your plan!

Ukiona Kenya wanaimarisha Miundombinu Yao ya Reli ujue lazima itaathiri plan zetu za ku save Jirani zetu ambao tunagombania Wateja na Kenya!
Acha hizo, mshindani wako akikufuata usichukue blanketi na kujifunika,toka pambana kwa njia yoyote shida yetu ni uchumi,
 
Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji

Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
kweli kabisa,,
 
Acha hizo, mshindani wako akikufuata usichukue blanketi na kujifunika,toka pambana kwa njia yoyote shida yetu ni uchumi,



Hakuna Mfanyabiashara au Mchumi Mwenye akili timamu kuacha soko ambalo Yeye ni Monopoly aka prefer kwny Competitve Market.
 
Back
Top Bottom