GPA 3.3, nitapata masters chuo gani hapa Bongo

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nataraji mwakani niaply MA kama naweza pata chuo,Udsm na Udom wanataka3.5.Masomo yangu ni History na Geog na nilisomea BAED MUCE,naomba ushauri mana nina wasi na hiyo GPA
 
Sikupata majibu ya kutosha
 
Kwa nini usiende huko huko vyuoni unabaki kutusumbua hapa...
 
"GENTLE MAN GPA"
We apply tu bwana, ila kwa ninavyoona unalazimika kuanza na post graduate kwanza.
 
Nataraji mwakani niaply MA kama naweza pata chuo,Udsm na Udom wanataka3.5.Masomo yangu ni History na Geog na nilisomea BAED MUCE,naomba ushauri mana nina wasi na hiyo GPA

Vyuo vyote bongo unaweza kuingia kwa izo marks..Inategemea unataka kusoma nini.
 
Mkuu hapo mbona unapata chuo chochote hata Ud........ ushauri wangu nenda IDS udsm ule kitabu hapo
 
Napenda nipige MA in History na nimeuliza wadau mana sina uwezo wa kuzunguka Vyuo vyote
 
website za vyuo husika umezitembelea?
 
apply hakuna chuo kitakachokukatalia kwa GPA hiyo. Tatizo mnatafuta taarifa za msingi vijiweni ni nani aliyekwambia udsm wanakataa hiyo?
 
apply hakuna chuo kitakachokukatalia kwa GPA hiyo. Tatizo mnatafuta taarifa za msingi vijiweni ni nani aliyekwambia udsm wanakataa hiyo?

Samahani mkuu mtamanyali, UD minimum GPA ya kusoma master CoNAS ni ngapi.
 
Last edited by a moderator:
mtu mwenye 2.7 GPA ansoma ila inashauliwa at least uwe na working experience ya miaka miwili.

Nashukuru sana kiongozi mtamanyali, ukiwa na hiyo GPA unasoma masters direct ama unaanza na post-graduate
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu mtamanyali, UD minimum GPA ya kusoma master CoNAS ni ngapi.

nimeangalia waliochagulowa masters mwaka huu wamechukua hadi GPA ya 2.8 Google majina ya waliachaguliwa masters kwa 2014/2015 ujionee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…