Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataraji mwakani niaply MA kama naweza pata chuo,Udsm na Udom wanataka3.5.Masomo yangu ni History na Geog na nilisomea BAED MUCE,naomba ushauri mana nina wasi na hiyo GPA
apply hakuna chuo kitakachokukatalia kwa GPA hiyo. Tatizo mnatafuta taarifa za msingi vijiweni ni nani aliyekwambia udsm wanakataa hiyo?
"GENTLE MAN GPA"
We apply tu bwana, ila kwa ninavyoona unalazimika kuanza na post graduate kwanza.
mtu mwenye 2.7 GPA ansoma ila inashauliwa at least uwe na working experience ya miaka miwili.Samahani mkuu mtamanyali, UD minimum GPA ya kusoma master CoNAS ni ngapi.
mtu mwenye 2.7 GPA ansoma ila inashauliwa at least uwe na working experience ya miaka miwili.
Samahani mkuu mtamanyali, UD minimum GPA ya kusoma master CoNAS ni ngapi.
nimeangalia waliochagulowa masters mwaka huu wamechukua hadi GPA ya 2.8 Google majina ya waliachaguliwa masters kwa 2014/2015 ujionee
Yeah i know.Hiyo sio gentle, ni lower second