GPA kubwa now hazina umuhimu sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri

Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia hufahamu wao leo unaweza muhuliza swali akajibu very well ila hawa wa GPA kubwa hamna kitu.

Kuna watu tuna fanya nawo kazi lakini ukiangalia GPA kubwa uwezo wake wa kujieleza ziro skills alizopata kuja kutumia in practice ziro shida inakuwa kubwa mpaka una jiuliza huyu shule alienda kufanya Nini?

Nataka kusema hivi wadogo zangu pambane kweny practice na elewa zaidi kuhusu professional yako more penda kuhifuatilia kwa ukaribu upate update za professional yako unatoboa GPA achana nayo kabisa.
 
Wadogo zangu wa chuo,msimsikilize mleta mada kuhusu GPA
Mstari wa mwisho umeandika eti GPA ni ya kuachana nayo kabisa,seriously??

Someni muelewe na muwe na GPA nzuri...zipo kazi zinatoka zinalimit GPA
 
Tatizo limeanzia kwenye mwandiko wako. GPA yako inaakisi mwandiko wako pia.

Pili umeandika kama unachuki na wenye GPA kubwa.

Note: GPA ndio kipimo cha ufaulu. Kinachobaki ni personal interest.
 
Kama wewe ulivyo kilaza, HUMUHIMU ni nini? Ndio ukilaza wenyewe
 
GPA za mchongo,sikuizi wanaangalia practice ,kujituma sio kukariri madesa tena
 
Pata GPA kubwa, narudia jitume upate GPA kubwa, sawa practice ni muhimu ila nani atajua ikiwa haupo kwenye system na system inawapa kipaumbele wenye ufaulu mkubwa. Kama una mpango wa kujiari komaa na practice itakusaidia ila kama unata kuajiriwa GPA ni muhimu, utakuja kuwalaumu watu wamekutenga
 
Nakumbuka huu utopolo tulikuwa tunadanganyana enzi zile tukiwa Chuo eti GPA kubwa haina maana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani eti usifaulu saana utaonekana umekariri au sijui kule kazini wanataka waone vitendo sio makaratasi like seriously? Watu wote wenye fikra za aina hii ni wajinga wa Kiwango cha Lami kwa sababu Nani atakupa nafasi Uoneshe Uwezo wako ikiwa hauna Kigezo kikuu ambacho ni Ufaulu?? Hivyo vitendo vyako vya kuproove wewe ni Bora kuliko mwenye GPA kubwa utavioneshea WAPI?

Ewe Mwanafunzi uliyepo Chuoni Muda huu nisikilize Mimi Kaka ako! Fanya kila liwezekanalo iwe Kwa chabo, Rushwa, wizi, Kukesha, Kukariri jitahidi Upate GPA kubwa tena likitokea Gape la kupata GPA ya 5 labda kwa Chabo au connection wewe pita Nayo tu usiangalie Nyuma Utakuja kunishukuru Baadae! Usije ukaogopa eti ooh Watanishtukia sina ujuzi, Wewe pita nayo tuu huku kazini kuna Trainings hauanzi kazi kimbuzi mbuzi tuu, janja janja zipo nyingi wewe hakikisha Unajitengenezea mazingira mazuri ya kupata kazi mengine utajua mbeleni[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 

Kabisaa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…