Ron70
Senior Member
- Jan 20, 2022
- 104
- 265
Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri
Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia hufahamu wao leo unaweza muhuliza swali akajibu very well ila hawa wa GPA kubwa hamna kitu.
Kuna watu tuna fanya nawo kazi lakini ukiangalia GPA kubwa uwezo wake wa kujieleza ziro skills alizopata kuja kutumia in practice ziro shida inakuwa kubwa mpaka una jiuliza huyu shule alienda kufanya Nini?
Nataka kusema hivi wadogo zangu pambane kweny practice na elewa zaidi kuhusu professional yako more penda kuhifuatilia kwa ukaribu upate update za professional yako unatoboa GPA achana nayo kabisa.
Tuache kuaminisha vijana walioko vyuoni au wanaotegemea kwenda vyuoni mambo ya hovyo. GPA kubwa ni muhimu tena muhimu haswa!
Swala la kazini mtu mwenye gpa kubwa kuwa na utendaji kazi mbovu ni la mtu na mtu na hakuna official data ku verify hili! Taarifa zote zinatoka kwenu nyie wenye gpa ndogo na hakuna kitu zaidi ya kuwa mna feel inferior kwa hawa watu!!
Interview especially za serikali GPA huwa inahusika kama cutting point katika baadhi ya interview sasa nenda na 2.5 yako na unashindana na watu wana 4 na above tuone nani atapata.
Chuo nilicho maliza wenye gpa kubwa walipata kazi siku ya graduation!! Sasa sjui unataka kuniaminisha nini hapa.