Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri
Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia hufahamu wao leo unaweza muhuliza swali akajibu very well ila hawa wa GPA kubwa hamna kitu.
Kuna watu tuna fanya nawo kazi lakini ukiangalia GPA kubwa uwezo wake wa kujieleza ziro skills alizopata kuja kutumia in practice ziro shida inakuwa kubwa mpaka una jiuliza huyu shule alienda kufanya Nini?
Nataka kusema hivi wadogo zangu pambane kweny practice na elewa zaidi kuhusu professional yako more penda kuhifuatilia kwa ukaribu upate update za professional yako unatoboa GPA achana nayo kabisa.
Hii inferiority complex na Fixed mindset ya kusema GPA kubwa hazina inshu ni ya ovyo kuwahi kutokea duniani.
Kama GPA kubwa hukuipata ni wewe, usijaribu kuuaminisha umma kuwa kutafuta GPA kubwa ni nonsense, you will be absolutely wrong.
Kama GPA kubwa sio deal, chuo cha nini Sasa? Yaani uende chuo kusoma then, useme mimi sisomi ili nipate GPA kubwa, are you serious?,,, Si bora ubaki nyumbani uuze Ice cream za ukwaju!. You will be wasting your time for nothing.
Kama uko chuo soma, Tena soma haswa, ndo kazi iliyokupeleka kule, hujaenda chuo kuuza SURA, uko Chuo Kwa mission moja tu, nayo ni kusoma.
Ushauri wangu kwa Continuous wote mlioko Chuo, Don't be Idiot to claim that having a great GRADE POINT AVERAGE "GPA" is Scam. Sio kweli, Push it harder to improve your performance, achana na mindset za upotoshaji You will thank me later.
Kama una uwezo wa kupiga kitabu just do it, show it and make it happen. That's.
#MyCountryPeople[emoji1241].