GPA kubwa now hazina umuhimu sana

Ulipiga GPA ya ngapi mkuu embu tujuze asee
 
Nikifikiria jinsi ninavyofundisha vizuri,language skill ya kutosha kabisa na fluency yenye adabu lakini siwezi kuomba u lecturer kwa sababu ya GPA huwa naumia sana.haimanishi wenye GPA ndogo ndo wenye akili,na wote wenye kubwa nizamichongo
Kwani u lecturer wanataka GPA ya ngapi mkuuu
 
I wishi ningejua haya kabla sijamaliza masomo , wengi naowafahamu wenye GPA zao wanakula maisha tu
 
I wishi ningejua haya kabla sijamaliza masomo , wengi naowafahamu wenye GPA zao wanakula maisha tu
Ngoja nipambanie kombe tena nipo mwaka wa 1 haaa Mungu anisaidie tu 🤗🤗🤗
 
kila siku huwa nawaambia wadogo zangu na wanafunzi wangu kwamba fanya ufanyalo upate GPA kubwa.

Hata kama hujui kuchukua history kwa mgonjwa......wewe pata GPA kubwa pita vile......kwa njia yoyote ile hata kama ni kwa kumpa lecturer pesa wewe mpe tu ili upate GPA kubwa.

Mambo ya huku kazini.....mkija huwa tunaanza na nyie upya na maseminar kibao.....hapo utachangamka na utacope tu......WADOGO ZANGU WA JAMII FORUM MLIOPO VYUONI PATENI NARUDIA PATENI GPA KUBWA......itawasaidia sana.
 
Asante
 
Sisi tulikuwa tunadanganyana kuwa wadada ndio inabidi wafaulu sana
 
Connection matters alot
 
Ulisomea nini chuoni?
 
GPA inayo zungumziwa hapa ni ya mwaka wa mwisho semister ya mwisho. Siyo ya mwaka wa kwanza au pili semister yoyote?
 
Huu ushauri wa kupuuzia GPA msiuchukue wakuu.
Watu wanapata nafasi za Instructor, Tutor, Tutorial Assistant, Curriculum Designers, Research Assistant kwenye taasisi za elimu ya juu kupitia Sekretarieti ya Ajira kwa kigezo cha GPA kuanzia 3.5+ au 3.8+.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Well said
 
Hii inferiority complex na Fixed mindset ya kusema GPA kubwa hazina inshu ni ya ovyo kuwahi kutokea duniani.

Kama GPA kubwa hukuipata ni wewe, usijaribu kuuaminisha umma kuwa kutafuta GPA kubwa ni nonsense, you will be absolutely wrong.

Kama GPA kubwa sio deal, chuo cha nini Sasa? Yaani uende chuo kusoma then, useme mimi sisomi ili nipate GPA kubwa, are you serious?,,, Si bora ubaki nyumbani uuze Ice cream za ukwaju!. You will be wasting your time for nothing.

Kama uko chuo soma, Tena soma haswa, ndo kazi iliyokupeleka kule, hujaenda chuo kuuza SURA, uko Chuo Kwa mission moja tu, nayo ni kusoma.

Ushauri wangu kwa Continuous wote mlioko Chuo, Don't be Idiot to claim that having a great GRADE POINT AVERAGE "GPA" is Scam. Sio kweli, Push it harder to improve your performance, achana na mindset za upotoshaji You will thank me later.

Kama una uwezo wa kupiga kitabu just do it, show it and make it happen. That's.

#MyCountryPeople[emoji1241].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…