GPA kubwa now hazina umuhimu sana


Tuache kuaminisha vijana walioko vyuoni au wanaotegemea kwenda vyuoni mambo ya hovyo. GPA kubwa ni muhimu tena muhimu haswa!

Swala la kazini mtu mwenye gpa kubwa kuwa na utendaji kazi mbovu ni la mtu na mtu na hakuna official data ku verify hili! Taarifa zote zinatoka kwenu nyie wenye gpa ndogo na hakuna kitu zaidi ya kuwa mna feel inferior kwa hawa watu!!

Interview especially za serikali GPA huwa inahusika kama cutting point katika baadhi ya interview sasa nenda na 2.5 yako na unashindana na watu wana 4 na above tuone nani atapata.

Chuo nilicho maliza wenye gpa kubwa walipata kazi siku ya graduation!! Sasa sjui unataka kuniaminisha nini hapa.
 
Elimu yenyewe yasikuhizi Magumashi sana Ajira Hakuna, Tunasoma Kupunguza UJINGA kichwani Hayo ma-GPA yatakusaidia nini? We kaza Fuvu Kusoma hili upate GPA za kuringishia mtaani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa kweli
 
Huyu. Dogo anasemea kwa yy anachoamini ila sio realistic kabisa hii kitu mkuuu shukrani
 
Hata wasipokusikiliza tayari huna hatia mbele za Mungu kwa kuwaambia huu ukweli mchungu. GPA ya undergraduate ni muhimu sana ili uingie kwenye ajira. Watu niliosoma nao karibu wote waliopiga GPA kali wako kwenye ajira nzuri. Vijana wampuuze mleta mada.
 
Asante 😁😁😁😁😁😁
 
Umesikia we dogo Johnnie Walker acha upotoshaji ww
 
Hao wenye gpa kubwa walipiga 4. Ngapi ili nijipange vizuri mkuuu nipe abc za gpa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…