Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halmashauri huko labda sio private sectorGPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst
Private sector nani ana time na GPA yako?vyeti vyenyewe wengine hawaangalii.Halmashauri huko labda sio private sector
Njoo mtaani kijana ukuweGPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
Labda za kiswahili ndio hawaangaliPrivate sector nani ana time na GPA yako?vyeti vyenyewe wengine hawaangalii.
Tulia kijanaNjoo mtaani kijana ukuwe
Kinachoangaliwa ni uwezo wako nasio gpa yakoGPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
Poa fazaTulia kijana
Haukuhonga ?Kazi ni unamjua nani GPA matters lakin sio kiivyo mi nliwahi kupata kazi kampuni kubwa wanalipa vzuri sana kwa kua recommended tu na nlifanya for 6 months ndo nikaanza kuobwa vyeti na CV so mujitahidi pia kutengeneza connection
Amna mkuu hawangalii wanangalia result ya kazi.Labda za kiswahili ndio hawaangali
Kampuni za kimataifa wanaangalia
Hapana mkuuHaukuhonga ?
Ilikuwa private sector?Hapana mkuu
Ni private ndioIlikuwa private sector?
Yap niko naujuzi wa machine learningkama wewe ni academician hapo sawa tafuta GPA ila kama sio academician tafuta maarifa na mautundu.