Inawezekana mkuu. GPA 3.2 si kikwazo moja kwa moja, kinachoangaliwa ni vigezo vya tangazo husika na ushindani wa waombaji. Kama qualifications zote ziko sawa, subiri shortlist tu.Habari ndugu na jamaa.
Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
Ushindani ni idadi na sifa za waombaji. Mfano nafasi 10, waombaji 1,000 wenye sifa—hapo ushindani ni mkubwa. GPA 3.2 inaweza kuwa shortlisted, kutegemea vigezo vya tangazo.Ushindani wa waombaji kivipii!?
zile intern za nje bado zipo?Habari ndugu na jamaa.
Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
ajira za G.P.A zimakaa kimatabaka. Mtu kuwa G.P.A ndogo sio kipimo, nashangaa hao wandwanzi wamekomaaa na G.P.AHabari ndugu na jamaa.
Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
Kwanini ulipata GPA ndogo hivyo mkuu?Habari ndugu na jamaa.
Naombeni kufahamu zaidi kuhusu mchakato wa kua shortlisted katika nafasi za serikari kwajir ya interview. Kwa gpa iyo apo inawezekana kuitwa kweny interview!?
Hiyo uhakika
Hiyo uhakika
Kwaiyo USHAURI wako nini juu ya ilo!?Kwanini ulipata GPA ndogo hivyo mkuu?