GPA ya 3.9 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

Mimi nilipata 3.5 with honours Telecommunications engineering

Kuhusu wewe, je ni overall GPA? kama overall ni nzuri mkuu.

Kama sio overall jitahidi mpaka unamaliza chuo atleast isishuke chini ya 3.5... kama unaweza kuipandisha zaidi ni vizuri.

Mimi niliendekeza mapenzi 😂😂😂 ningekaza ningeondoka na first class.
 
Ni nzuri sana na hivi sijawahi ipata. Lakini GPA ina mashiko kama unataka kuwa academician.

Huku kwingine skills, uniqueness, talent, experience connections will get you somewhere.

NB: sina uhakika na Serikalini maana sijawahi omba kazi huko.
 
Yes Mhitimu mwenye GPA nzuri ni kipimo Cha akili watu Hawa wakiajiriwa huwa ni wepesi kuendana na mabadiliko pia ni wazuri sana ukiwatumia kufanya ushawishi kwa serikali eneo Fulani lenye uhitaji
Mkuu,
Sio kweli,kuna graduate wana_gpa kubwa lakini kichwani ni weupe kabisa..

Hapa nazungumzia wale wanaopewa GPA zamchongo.
 
Ni nzuri sana na hivi sijawahi ipata. Lakini GPA ina mashiko kama unataka kuwa academician.

Huku kwingine skills, uniqueness, talent, experience connections will get you somewhere.

NB: sina uhakika na Serikalini maana sijawahi omba kazi huko.
Hakika kabisaa.
 
Kabla hawajaona ulichonacho kichwani watakuita kwa vyeti vyako
Sio kweli kwenye NGOs au makapuni ya nje wanahitaji CV yako kwanza ndio wanafanya shortlisting kwa ajili ya Interview, vyeti ni hatua ya mwisho kabisa. CV yako na namna utakavyo jieleza kwenye Interview ndio vina mashiko kwao.

Na kama wanataka kujua kama upo vizuri wanaangalia elimu yako ya secondary pia hasa form four kiasi fulani ni realist kuliko hizi GPA za kukariri na za rushwa.
 
Assume wanahitaji fresh graduate from university bila watakuita Interview na waombaji wapo zaidi ya elfu mbili?
 
Back
Top Bottom