Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ndio wataangalia ufaulu wa chuo, secondary na pia utafanya Interview na mwisho anaweza akachukuliwa mwenye 3.2 na mwenyewe 3.9 akaachwa kulingana na namna watakavyo ona uwezo wake kwenye Interview. Kwani ni mara nyingi mtu anakuwa na GPA kubwa ila kwenye Interview anashindwa kuthibitisha uwezo wake unaondana na hiyo GPAAssume wanahitaji fresh graduate from university bila watakuita Interview na waombaji wapo zaidi ya elfu mbili