Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Yes Mhitimu mwenye GPA nzuri ni kipimo Cha akili watu Hawa wakiajiriwa huwa ni wepesi kuendana na mabadiliko pia ni wazuri sana ukiwatumia kufanya ushawishi kwa serikali eneo Fulani lenye uhitajiKwani GPA ndio kipimo Cha IQ au??
Mkuu,Yes Mhitimu mwenye GPA nzuri ni kipimo Cha akili watu Hawa wakiajiriwa huwa ni wepesi kuendana na mabadiliko pia ni wazuri sana ukiwatumia kufanya ushawishi kwa serikali eneo Fulani lenye uhitaji
Upo vizuri kama kweliAsante kwa kunitukanaπ₯Ί
Ujaelewa! Yeye ana 3.9 hana uhakika kama nzuri, ananitukana mimi niliye na chini ya hapoUpo vizuri kama kweli
πππ Anataka sifaInawezekana kweli mtu alopata gp hiyo asiwe na ungamuzi kujua ni nzuri au mbaya? Au unataka kusifiwa?
3.5+ ndo vipangaKwa uelewa wangu 3.0 kuendelea ni vipanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nimeishi na gpa ya 2 6 kwa miaka 20 mpaka nilipo amua kuachana na ulimwengu wa vyeti.
Tena asikie kwa weledii.Kama huna connection mjini au bahati utavichoma moto hvyo vyeti
Hakika kabisaa.Ni nzuri sana na hivi sijawahi ipata. Lakini GPA ina mashiko kama unataka kuwa academician.
Huku kwingine skills, uniqueness, talent, experience connections will get you somewhere.
NB: sina uhakika na Serikalini maana sijawahi omba kazi huko.
Nimecheka had mbavu zinauma hapa, khaaahNzuri sana,hiyo ukienda restaurant yoyote unapewa chakula bure kabisa
Adi wew kazi yako unahitaj GPA kubwa?Nimecheka had mbavu zinauma hapa, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajie chuo na kozi uliosomaNilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
Kabla hawajaona ulichonacho kichwani watakuita kwa vyeti vyakoUlimwengu wa vyeti umeisha... Siku hizi watu wanaangalia ulichonacho kichwani. Vyeti ni ziada...
Sio kweli kwenye NGOs au makapuni ya nje wanahitaji CV yako kwanza ndio wanafanya shortlisting kwa ajili ya Interview, vyeti ni hatua ya mwisho kabisa. CV yako na namna utakavyo jieleza kwenye Interview ndio vina mashiko kwao.Kabla hawajaona ulichonacho kichwani watakuita kwa vyeti vyako
Assume wanahitaji fresh graduate from university bila watakuita Interview na waombaji wapo zaidi ya elfu mbili?Sio kweli kwenye NGOs au makapuni ya nje wanahitaji CV yako kwanza ndio wanafanya shortlisting kwa ajili ya Interview, vyeti ni hatua ya mwisho kabisa. CV yako na namna utakavyo jieleza kwenye Interview ndio vina mashiko kwao.
Na kama wanataka kujua kama upo vizuri wanaangalia elimu yako ya secondary pia hasa form four kiasi fulani ni realist kuliko hizi GPA za kukariri na za rushwa.