Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ndio wataangalia ufaulu wa chuo, secondary na pia utafanya Interview na mwisho anaweza akachukuliwa mwenye 3.2 na mwenyewe 3.9 akaachwa kulingana na namna watakavyo ona uwezo wake kwenye Interview. Kwani ni mara nyingi mtu anakuwa na GPA kubwa ila kwenye Interview anashindwa kuthibitisha uwezo wake unaondana na hiyo GPAAssume wanahitaji fresh graduate from university bila watakuita Interview na waombaji wapo zaidi ya elfu mbili
Hivi ni kweli hii Mkuu, kuwa hakuna growth katika career hii? Unaweza kuijazia nyama nipate picha ya eneo hili, tafadhali.G.P.A in this days GPA doesn't matter anymore
Jitahidi uwe na kitu cha ziada cha kuwazidi wenzio
Uwe na connection.
Kwa elimu ya Tanzania Kupata A unapata Ila kuwa na uwezo kazini hukutokani na A ya chuo
I speak from an experience.
Kuwa mkufunzi it is OK but there's
no growth in this career
inategemea na chuo ndugi, kama ni udsm wewe hapo ulikuwa kipanga.Nilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
anahisi GPA ndio itampa kaziMadogo hawaelew msoto wa kitaa bado
serikalini hawaangalii GPA we fanya vizuri kwenye interview zao wanakupa kazi labda zile kazi za kufundishaNi nzuri sana na hivi sijawahi ipata. Lakini GPA ina mashiko kama unataka kuwa academician.
Huku kwingine skills, uniqueness, talent, experience connections will get you somewhere.
NB: sina uhakika na Serikalini maana sijawahi omba kazi huko.
BVM 4.4 ila kapata chimbo?Kuna mwanangu alikua na GPA 4.4 BVM amekula MSOTO miaka 6
Kazi gani hiyo wanayotaka GPA badala ya Utendaji ili nikushauri vizuri Mkuu.Nilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
Taja chuo, kuna vyuo ukipata GPA ya 3.9 ni sawa na 2.0 kwa vyuo vingineNilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi
Nilikua naomba kuuliza kama GPA ya 3.9 kama ni nzuri kwenye fursa za kazi