Vicenza
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 1,020
- 1,515
Nimefanikiwa apply chuo kingine...mwanzo ili kuwa ina kataa kwasababu wali kuwa bado hawaja kubali uthibitisho ..wa cancel admission..Ila nilijaribu tena Na tena ikakubali ....Jaza fomu TCU coz tiyari ulikuwa na full admission