BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwisha kabisa. Umekata tamaa unataka tawaliwa.Jenga hotel yako uwaajiri wabongo watakufilisi mfyooo.....ataiba mpaka carpert
Sent using Jamii Forums mobile app
Maagizo ya rais yanahusiana vipi na biashara ya mtu?This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
Hizo hotel ziajiri wakenya? Ukiwa na.mawazo ua Mbeya lazima utakomaa.Zipo hoteli nyingi tu hapo Mbeya haziendeshwi na Wageni na zinafanya vibaya, unakuja kupiga kelele kwa GR ambayo kwa kiasi fulani inafanya vizuri sababu tu Meneja wake ni Mkenya.
Ebu jaribu kuzipigia kelele hizo hoteli ambazo haziendeshwi na wageni zenye huduma sio za kuridhisha zifikie angalau kiwango cha GR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli. Tunahitaji kurekebisha. Pressure ya maisha inafanya kazi yake. Tutakaa kwenye mstari lazima.
kwa WaTz ninao wajua mimi awe na kaelimu kidogo mikogo mingi kuliko kaziHii kweli. Tunahitaji kurekebisha. Pressure ya maisha inafanya kazi yake. Tutakaa kwenye mstari lazima.
Kwa sasa nimeona vijana wengi wa kileo wako vizuri sana. Wana-compete na majirani nchini kwao. Rwanda, Kenya etc. Pale Kigali na Huye wapo kibao. Uganda pia Kenya.
Muhimu tusidharau. Tunatoa mwanya wa kudharauliwa. Magufuri amekazana kuwaelesha watu. Itachukua muda lakini wataelewa tu. Kuwa Watanzania wanaweza. Sana tu
Hapana. Watanzania wapo wengi sana. Vijana wa siku wamesomeshwa international schools na University za Cape, Witwaterstrand, UK na China. Wapo vizuri sana na wanagombewa sana. Tuko njema sana na lazima tukubali.Kwaheshima zote kwa WaTz ila tukubali foreigners are great professionals mkuu... Jamaa wanajua nini wanafanya wapo committed sana tena sana and waTz pia wapo waowajibika sana lakini ni wachache so biashara ikiwa kubwa mtu unaona bora umpe foreigner atakaepiga kazi na akitembelewa na watu wa nchi yake watakuja kuongeza pato la sehem husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fanya utafiti utendaji kazi wa watanzania ktk nyanja za customer care, sales and marketing. Hapa utaelewa sisi wabongo tunakwama wapi.lazima tuhakikishe watu wetu wanafanya kazi zetu wenyewe.
HaaaaaaaaaaaaNimelala sana GR, kama Meneja ni Mgeni basi he deserves it. Ile breakfast sio ya kitoto! Sema labda mleta mada kanyimwa zile risiti zetu za magumashi kwa aajili ya retirement hahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai. Lakini si kweli kuwa ni lazima tuendeshwe na foreigners ndiyo tuende mbele. Huo utakuwa wehu wa kiakili. Tumo huku Tz wazuri sana. Nyanja zote.Mkuu fanya utafiti utendaji kazi wa watanzania ktk nyanja za customer care, sales and marketing. Hapa utaelewa sisi wabongo tunakwama wapi.
Ile breakfast utadhani lunch aiseee! Dah au naongopa? WiFi ya maana sana, room kubwa maji ya moto, thermos ya chain! Bible kwa pembeni, kondomu za kike na kiume dah.....acha kabisa! Halafu bei ya kawaida sanaH
Haaaaaaaaaaaa