GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
Maagizo ya rais yanahusiana vipi na biashara ya mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelala sana hotel zinazosimamiwa na Wakenya kuanzia Mwanza, Arusha na Mbeya. Kwa ujumla wanafanya vizuri. Tukija kwa huyu rafiki yangu GR Mbeya Bwana Sam ni jamaa anajua vema kazi yake, mwache aendelee kutumika na kutoa changamoto kwa wabongo wajifunze.
 
Zipo hoteli nyingi tu hapo Mbeya haziendeshwi na Wageni na zinafanya vibaya, unakuja kupiga kelele kwa GR ambayo kwa kiasi fulani inafanya vizuri sababu tu Meneja wake ni Mkenya.

Ebu jaribu kuzipigia kelele hizo hoteli ambazo haziendeshwi na wageni zenye huduma sio za kuridhisha zifikie angalau kiwango cha GR

Hizo hotel ziajiri wakenya? Ukiwa na.mawazo ua Mbeya lazima utakomaa.
Tunahitaji huduma nzuri. Haimaanishi wewe huwezi kutoa huduma nzuri mpaka usimamiwe na wakenya. You mean nyumbani kwako una housegirl mkenya anamsaidia mkeo/mmeo?

Fungua akili
 
kila siku atajifanya naenda semina kumbe yupo sinza analewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli. Tunahitaji kurekebisha. Pressure ya maisha inafanya kazi yake. Tutakaa kwenye mstari lazima.
Kwa sasa nimeona vijana wengi wa kileo wako vizuri sana. Wana-compete na majirani nchini kwao. Rwanda, Kenya etc. Pale Kigali na Huye wapo kibao. Uganda pia Kenya.

Muhimu tusidharau. Tunatoa mwanya wa kudharauliwa. Magufuri amekazana kuwaelesha watu. Itachukua muda lakini wataelewa tu. Kuwa Watanzania wanaweza. Sana tu
 
kwa WaTz ninao wajua mimi awe na kaelimu kidogo mikogo mingi kuliko kazi
Inst-image-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaheshima zote kwa WaTz ila tukubali foreigners are great professionals mkuu... Jamaa wanajua nini wanafanya wapo committed sana tena sana and waTz pia wapo waowajibika sana lakini ni wachache so biashara ikiwa kubwa mtu unaona bora umpe foreigner atakaepiga kazi na akitembelewa na watu wa nchi yake watakuja kuongeza pato la sehem husika

Hapana. Watanzania wapo wengi sana. Vijana wa siku wamesomeshwa international schools na University za Cape, Witwaterstrand, UK na China. Wapo vizuri sana na wanagombewa sana. Tuko njema sana na lazima tukubali.

Sasa hivi migodi yote general managers ni Watanzania. Na mali zinazotoka sana. Sembuse GR hata three star haina.

Tatizo lipo kwa hawa kata na Theophile Kisanji au Mzumbe.

Zana za foreigners zimepotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelala sana GR, kama Meneja ni Mgeni basi he deserves it. Ile breakfast sio ya kitoto! Sema labda mleta mada kanyimwa zile risiti zetu za magumashi kwa aajili ya retirement hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fanya utafiti utendaji kazi wa watanzania ktk nyanja za customer care, sales and marketing. Hapa utaelewa sisi wabongo tunakwama wapi.
Sikatai. Lakini si kweli kuwa ni lazima tuendeshwe na foreigners ndiyo tuende mbele. Huo utakuwa wehu wa kiakili. Tumo huku Tz wazuri sana. Nyanja zote.
Nawapinga wanaojikataa. Eti kuwa hatuwezi. Upuuzi 360 degeees
 
HOTEL SUPERMARKETS VIWANDA meneja mhindi na mtunza pesa.Hapo utafanikiwa.Lakini mbongo kwanza Wizi,atawala wafanyakazi mabinti wote,Majungu.
Hata Mengi na uzalendo wake Bonite Meneja mhindi.Azam
 
Back
Top Bottom