..Grace Kingalame wa tbc1........................................

..Grace Kingalame wa tbc1........................................

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....
 
Wapo watangazaji wa kike wenye uwezo kama yeye lakini namkubali sana, kuna kipindi alikuwa mtangazaji mdogo kwa umri kuliko wote TBC1!
 
Huyu dada namzimia kichizi nywele,rangi,sauti,macho na lips zake.nilifanikiwa kumuona ana shepu hovyo.
 
if she delivers as supposed, she is good! her look does not matter,
 
Ni mtangazaji hodari na shupavu, ANAIPENDA FANI/KAZI YAKE ndio siri ya mafanikio popote. Namkubali.
 
Mi alikuaga jirani yangu 1. shepu ovyoooooo 2. usistaduu wakati hana senti anajitutumua kupanda taxi anakopa mpaka akahama mitaa ya kwetu kwa madeni ya madreva taxi 3. kazi ya utangazaji kwa mtu mwenye sauti (si bubu) kuna asiyeiweza?si unasoma tu karatasi? acheni kusifia upuuzi?
 
Kama ni kusoma karatasi tu mbona kila mtu hasomi karatasi na wakati tunajua TV ina waajiriwa kibao? Jirani usiongee tu kama vile we sio great thinker, acha kushadadia changia mada kwa fikra pevu!
 
Mzuri kwenyeTBC wanaotangaza wamekaa, kwengine hawezi kwa sisi tunaomjua.
 
Acha mbwembwe wa kawaida sana kiutangazaji...kina Suzan Mongi umewaacha wapi..? Tuambie sifa yake ya kipekee (if any)
 
Mi alikuaga jirani yangu 1. shepu ovyoooooo 2. usistaduu wakati hana senti anajitutumua kupanda taxi anakopa mpaka akahama mitaa ya kwetu kwa madeni ya madreva taxi 3. kazi ya utangazaji kwa mtu mwenye sauti (si bubu) kuna asiyeiweza?si unasoma tu karatasi? acheni kusifia upuuzi?

huu sasa ni udaku! Great thinker hawezi kuandika ulichoandika hata kama ni freedom of expression kha!
 
Hahaha! haujatulia weye lol! nywele fupi za kichwani.

hahah maana mkuu tusije tukawa tunabishana tu hapa kumbe kiongozi una refer nywele za maeneno mengine...pamoja kaka
 
mwenyewe namkubali sana!!!

Big up Grace!!!

Keep it up mamaa!!!
 
Back
Top Bottom