only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....