Wapo watangazaji wa kike wenye uwezo kama yeye lakini namkubali sana, kuna kipindi alikuwa mtangazaji mdogo kwa umri kuliko wote TBC1!
Huyu dada namzimia kichizi nywele,rangi,sauti,macho na lips zake.nilifanikiwa kumuona ana shepu hovyo.
Nywele fupi.nywele wapibwana mi namuona na liupara daily
Nywele fupi.
Hahaha! haujatulia weye lol! nywele fupi za kichwani.au unazungumzia nywele za maeneo yepi mkubwa ..maana tusiwe tunabisha tu hapa
Mi alikuaga jirani yangu 1. shepu ovyoooooo 2. usistaduu wakati hana senti anajitutumua kupanda taxi anakopa mpaka akahama mitaa ya kwetu kwa madeni ya madreva taxi 3. kazi ya utangazaji kwa mtu mwenye sauti (si bubu) kuna asiyeiweza?si unasoma tu karatasi? acheni kusifia upuuzi?

Hahaha! haujatulia weye lol! nywele fupi za kichwani.