nafiiri Grace yupo kabla ya hizi team limbukeniWametoka zama mbaya za mateam mziki anao mzur
Huyu dada mbona wakitambo sana rafikiWametoka zama mbaya za mateam mziki anao mzur
Afu hiyo ngoma sijawah isikia ngoja niitafuteHuyu dada anajua sana
Free soul nauelewa mpaka kesho
Napenda alivyoimba kiitikio cha nyakati za mashaka kwenye wimbo ambao aliurudia Bikki Mbishi kutokana na wimbo wa grace wenyewe
Wimbo wangu, nauelewa zaidi
Media huwa zina wivu sana wenye media wanapenda sana kunyenyekewa huyu dada hanaga huo mda yeye hupiga show zake mwenyewe za live bandVizuri huwa havitangazwi kwenye media zetu km hao wengine
Huwa ana ngoma zenye hisia ile mbayaHuyu dada namkubalii sana hasa kwenye hii ngoma yake ya ""sema nami"" inanipaga mafeeling ya ukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma naye?Yuko simple sana nilimuona akisoma taxation IFM, anajua kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app