Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana
Kwanza nikili waz kuwa huyu dada grace anajua mziki na anajua anchokifanya, mimi kama shabiki mkubwa wa grace nimeamua nije kuanzisha uwanja wa wale wote tunaopenda kaz zake
Hata maadui zake pia mnaruhusiwa kujongea hapa kutoa mapovuuu yenu
Dada grace endelea hivyo hivyo mziki unaoufanya uko poa sana dada yangu
Balikiwa sana grace
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app