GRACE MATATA fans special thread

GRACE MATATA fans special thread

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kwanza nikili waz kuwa huyu dada grace anajua mziki na anajua anchokifanya, mimi kama shabiki mkubwa wa grace nimeamua nije kuanzisha uwanja wa wale wote tunaopenda kaz zake

Hata maadui zake pia mnaruhusiwa kujongea hapa kutoa mapovuuu yenu

Dada grace endelea hivyo hivyo mziki unaoufanya uko poa sana dada yangu

Balikiwa sana grace

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJMJVqdXcAA8gjL.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait right there, they are coming wanavimbiwa ugali mida hii.

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Huyu dada anajua sana
Free soul nauelewa mpaka kesho
Napenda alivyoimba kiitikio cha nyakati za mashaka kwenye wimbo ambao aliurudia Bikki Mbishi kutokana na wimbo wa grace wenyewe
Wimbo wangu, nauelewa zaidi
 
Wametoka zama mbaya za mateam mziki anao mzur
 
Back
Top Bottom