Grace Matata-Official Song Utanifaa

kuna wimbo kaimba na maua sama
ni hatari[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
unaitwa Hello[emoji85][emoji85]
sijui kuweka hapa ningewawekea!

sema freesoul ni wimbo ambao sitauchoka
maana unanipa faraja nikihuzunika.
 
Anajua kuwagusa wadada mnaomuzwa daily
 
Naomba niwe mkweli, kama Grace anafanya mziki mapenzi sawa lakini kama anafanya mziki kama kazi atengeneze mkwanja basi inabidi abadilike. Hii staili ya kuimba kama nune haitomfikisha
 
Naomba niwe mkweli, kama Grace anafanya mziki mapenzi sawa lakini kama anafanya mziki kama kazi atengeneze mkwanja basi inabidi abadilike. Hii staili ya kuimba kama nune haitomfikisha
Unataka auoneshe upaja?
 
Hongera Grace, japo sikujua kama utafikia hapa, Nakumbuka ulikuja kwangu siku 1 na ndugu yako katika vyote ukapenda dvd ya nysc na scorpion ukaazima, leo hii umefata nyayo zao, hongera
 
Hongera Grace, japo sikujua kama utafikia hapa, Nakumbuka ulikuja kwangu siku 1 na ndugu yako katika vyote ukapenda dvd ya nysc na scorpion ukaazima, leo hii umefata nyayo zao, hongera
Sijakuelewa
 
Grace Matata anajua sana take u'r time usikilize free soul utaelewa tu mwanadada yuko talented.
 
huyu dada anajua sana sijawah kuchoka kusikiliza nyimbo zake free soul, wimbo wangu, imba nami
 
Huyu Grace aimbe anavyoweza hataweza kutengeneza wimbo mkali tena level ya free soul!

Ninaweza kuweka repeat one Mara 80 an entire day afu bado I cant get enough of that song.

Very soul and emotional uplifting song.
 
You can't get enough of it... Mhh uliishii Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…