Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua kuwagusa wadada mnaomuzwa dailykuna wimbo kaimba na maua sama
ni hatari[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
unaitwa Hello[emoji85][emoji85]
sijui kuweka hapa ningewawekea!
sema freesoul ni wimbo ambao sitauchoka
maana unanipa faraja nikihuzunika.
hapana waweza kuwa na mawazo sometimesAnajua kuwagusa wadada mnaomuzwa daily
Sijazungumzia mapajaUnataka auoneshe upaja?
You can't get enough of it... Mhh uliishii Marekani?Huyu Grace aimbe anavyoweza hataweza kutengeneza wimbo mkali tena level ya free soul!
Ninaweza kuweka repeat one Mara 80 an entire day afu bado I cant get enough of that song.
Very soul and emotional uplifting song.