Siyo kila anaeimba anataka kuwa tajiri mjanjamjanja wengine wanafurahi wakiimba na kusikilizwa sababu ni vipaji vyao hela zinakuja tu but they are not after money... Huo ndo muzikimziki ni biashara.. ni zaidi ya kuimba vizuri... kuna kitu anakosea huyu dada.. aombe kazi wcb wamfundishe biashara ya mziki
Wewe umetumia vigezo gani... Hivi wewe unashabikia mziki au unashabikia watu maarufuLete vigezo ulivyotumia .........??
Kwenye muziki wa sasa kuna waimba muziki na wafanyabiashara... Wote wapo sawa ila linapokuja suala la muziki mzuri wafanya biashara tunawaweka pembeni tunasikiliza muziki mzuriVya Matata sina,ila ninavyo vya V.money.
Ni msanii wakike Bongo anayepiga shoo nyingi sana nje ya Bongo.
" " nyimbo zake zinapigwa sana nje.
" " anatengeneza pesa nyingi kwasasa.
Sikiliza wimbo wake wa free soul kuna mstari anasema SINA MALI SINA DENI KWA HIYO SIYO MASIKINI unaweza ukaelewa kwa nini anaimba muzikimziki ni biashara.. ni zaidi ya kuimba vizuri... kuna kitu anakosea huyu dada.. aombe kazi wcb wamfundishe biashara ya mziki
Mimi nashabikia muziki mzuri, na daima kizuri ni kile kinachopendwa na wengi.Wewe umetumia vigezo gani... Hivi wewe unashabikia mziki au unashabikia watu maarufu
Una uhakika gani unachokipenda wewe ndo kinapendwa na wengi? Mbona unataka kutulisha matango poriMimi nashabikia muziki mzuri, na daima kizuri ni kile kinachopendwa na wengi.
Ningesema unapendwa na WOTE,ungekuwa sahihi kunirekebisha,lakini nimesema na WENGI,maana yake wapo wasiopenda ambao ni WACHACHE.Nenda darasa la kiswahili.Una uhakika gani unachokipenda wewe ndo kinapendwa na wengi? Mbona unataka kutulisha matango pori
Wengi wewe na nani? Unaweza kuwa peke ukajua mpo wengi au umehesabu na familia yenuNingesema unapendwa na WOTE,ungekuwa sahihi kunirekebisha,lakini nimesema na WENGI,maana yake wapo wasiopenda ambao ni WACHACHE.Nenda darasa la kiswahili.
Kipimo cha wengi kupenda kazi yake ni pale unapomuangalia V.money na huyo Matata kwenye muziki wao ulipofikia na MALI WANAZOMILIKI KUTOKANA NA MUZIKI.Wengi wewe na nani? Unaweza kuwa peke ukajua mpo wengi au umehesabu na familia yenu
Mkuu mali siyo kipimo cha mtu kujua kuimba... Kuna watu wanaimba vizuri sana lakini hawatafuti makuu ila kuna wengine wanavipaji vya kawaida wanavitumia kutafuta Money and Fame.. Namkubali sana Vmoney kwa juhudi zake na utafutaji ila namkubali zaidi Grace matata anajua sana kuimbaKipimo cha wengi kupenda kazi yake ni pale unapomuangalia V.money na huyo Matata kwenye muziki wao ulipofikia na MALI WANAZOMILIKI KUTOKANA NA MUZIKI.
Ndipo hapo kinapotakiwa kiwepo kipimo cha nani zaidi kati yao,maana wewe utasema huyu na mwingine atasema yule, yupi ni zaidi ya mwenzie hamtajua,ndio maana wenye fani zao wakaja na suluhisho la huo utata nao ni, YUPI ANATENGENEZA PESA NYINGI KUTOKANA NA KAZI ZAKE ZA MUZIKI. YAANI IKO HIVI (KANUNI HII JINSI INAVYOFANYAKAZI ) KAMA MUZIKI WAKO UNAPENDWA NA WENGI KULIKO MWENZAKO BASI WEWE UTAUZA SANA KULIKO HUYO MWENZAKO KWASABABU ANAYEKIPENDA KITU ATAKIGARIMIA KUKIMILIKI,NDIO HATA UKIFANYA SHOO ZAKO HATA KAMA BEI ZAKO ZIKO JUU ZAIDI YA MWENZAKO BADO WEWE UTAJAZA NA UTAZIFANYA SHOO NYINGI KULIKO MWENZAKO. Hii ndio kanuni nyepesi sana kuishika,na ndio hata kwenye maisha ya kawaida mwenye bidhaa nzuri ndio atakayeuza sana,kinyume na hapo ni HISIA,AMBAZO HAZINA NAFASI KWENYE DUNIA ILIYOSONGA MBELE KIMAENDELEO. Huwezi kusema eti fulani ni zaidiya fulani,japo yeye hauzi sana kuliko mwenzake,hiki kitakuwa ni kichekesho.Mkuu mali siyo kipimo cha mtu kujua kuimba... Kuna watu wanaimba vizuri sana lakini hawatafuti makuu ila kuna wengine wanavipaji vya kawaida wanavitumia kutafuta Money and Fame.. Namkubali sana Vmoney kwa juhudi zake na utafutaji ila namkubali zaidi Grace matata anajua sana kuimba
Narudia tena kuna Wafanya biashara na Wanamuziki... Somo hili kwako linaonekana gumu sana kuelewekaNdipo hapo kinapotakiwa kiwepo kipimo cha nani zaidi kati yao,maana wewe utasema huyu na mwingine atasema yule, yupi ni zaidi ya mwenzie hamtajua,ndio maana wenye fani zao wakaja na suluhisho la huo utata nao ni, YUPI ANATENGENEZA PESA NYINGI KUTOKANA NA KAZI ZAKE ZA MUZIKI. YAANI IKO HIVI (KANUNI HII JINSI INAVYOFANYAKAZI ) KAMA MUZIKI WAKO UNAPENDWA NA WENGI KULIKO MWENZAKO BASI WEWE UTAUZA SANA KULIKO HUYO MWENZAKO KWASABABU ANAYEKIPENDA KITU ATAKIGARIMIA KUKIMILIKI,NDIO HATA UKIFANYA SHOO ZAKO HATA KAMA BEI ZAKO ZIKO JUU ZAIDI YA MWENZAKO BADO WEWE UTAJAZA NA UTAZIFANYA SHOO NYINGI KULIKO MWENZAKO. Hii ndio kanuni nyepesi sana kuishika,na ndio hata kwenye maisha ya kawaida mwenye bidhaa nzuri ndio atakayeuza sana,kinyume na hapo ni HISIA,AMBAZO HAZINA NAFASI KWENYE DUNIA ILIYOSONGA MBELE KIMAENDELEO. Huwezi kusema eti fulani ni zaidiya fulani,japo yeye hauzi sana kuliko mwenzake,hiki kitakuwa ni kichekesho.
Na mimi narudia tena Promoters wanamchukua msanii mwenye kuweza kurudisha pesa zao >>>> msanii mwenye kurudisha pesa zao ni mwenye washabiki wengi >>>>> msanii anakuwa na washabiki wengi kwavile ana muziki mzuri ni very simple mathematic.Narudia tena kuna Wafanya biashara na Wanamuziki... Somo hili kwako linaonekana gumu sana kueleweka
Kupiga shoo nyingi sijui na kutengeneza hela nyingi hilo ni suala la kibiashara tena siyo muziki hapa wanaohusika ni mapromoter na mameneja
Kwahiyo conclussion yako ni ipiNa mimi narudia tena Promoters wanamchukua msanii mwenye kuweza kurudisha pesa zao >>>> msanii mwenye kurudisha pesa zao ni mwenye washabiki wengi >>>>> msanii anakuwa na washabiki wengi kwavile ana muziki mzuri ni very simple mathematic.
Conclussion yangu ni kuwa Matata ni msanii mzuri sana,lakini linapokuja swala la kupambanisha wanamuziki shika kanuni hii. MUZIKI MZURI = WASHABIKI WENGI >>>> KUUZA SANA >>>SHOW NYINGI = PESA NYINGI. UNALINGANISHA NA MUDA ALIOPO KULINGANISHA NA MSHINDANI WAKE/UNAYEMLINGANISHA NAE. KUMBUKA, ANAYEPENDWA ATAUZA SANA,IWE KWA NYIMBO AU SHOO.Kwahiyo conclussion yako ni ipi
Mleta mada amesema Grace matata anajua sana kuimba pengine kuliko ht Mondi... Kwani tatizo liko wapi?Conclussion yangu ni kuwa Matata ni msanii mzuri sana,lakini linapokuja swala la kupambanisha wanamuziki shika kanuni hii. MUZIKI MZURI = WASHABIKI WENGI >>>> KUUZA SANA >>>SHOW NYINGI = PESA NYINGI. UNALINGANISHA NA MUDA ALIOPO KULINGANISHA NA MSHINDANI WAKE/UNAYEMLINGANISHA NAE. KUMBUKA, ANAYEPENDWA ATAUZA SANA,IWE KWA NYIMBO AU SHOO.
Hapo kwenye maandishi makubwa ndio mantiki ya sentensi yake.Mleta mada amesema Grace matata anajua sana kuimba pengine kuliko ht Mondi... Kwani tatizo liko wapi?