Grace Matata-Official Song Utanifaa

Grace Matata-Official Song Utanifaa

Huyu dada anajua sana sana toka namsikia kwenye song lake liitwalo wimbo wangu, free soul, nyakati za mashaka nilikubari kwamba ni almasi mchangani sema tu hajashtukiwa.
 
Heko dada! Gitaa lako limenifanya nimkumbuke sana Pauline Zongo.Pamoja na hizo pongezi ongeza voice range yako ili uzikamate vema low na high notes staili ya vanessa mdee.

Voice range hiyo hiyo sie tunaipenda...ya Vanessa tunamuachia Mdee
 
Anajua sana sema wadau ndio waua vipaji,wanapanga MTU wa kutrend kwenye game
 
Huyu demu hajanza Leo na hii ndo style yke toka mwanzo maybe Vanessa ndo anatembelea nyuz sake.KAZ nzur
 
Maybe Hana management nzuri na hapat promo ya kutosha ila for sure Ana kipaji asee
 
Wimbo mzuri sana,ila bado haufikii free soul.
Ule wimbo ni habari nyingine bwana.
Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.
Ushasikia nyakati za mashaka acha original version ya grace ule aliourudia nikki mbishi grace akaimba chorus
 
Free soul ni noma ule wimbo ni balaa.
Ushasikia nyakati za mashaka acha original version ya grace ule aliourudia nikki mbishi grace akaimba chorus
Mkuu hapa nataka niingie YouTube nikajikumbushie,free soul ni noma.

Huo nitaucheki pia...
 
Huyu mdada ni mkali sana!! Pengine hata kuliko Mondi

Anaimba hadi unaweza kulia



1e20fd6a155a17b04f6cbff6edcac6e8.jpg
 
Wimbo mzuri sana,ila bado haufikii free soul.
Ule wimbo ni habari nyingine bwana.
Kweli... Huyu dada anajua.. Anaimba sana!! Sijui nisemeje dah!!
 
Back
Top Bottom