Grace usije tena gheto

Grace nataka nikuache lakini nashindwa kutokana na uombaji wa msamaha wako! Naomba kuanzia leo grace msamaha wako uuombe kwa njia ya simu sitaki ili mizani iwe sawa.

Wajukuu na mabinti zangu mnaweza kupata Point muhimu kutoka kwa Grace kama mtaitafakari na kuelewa namna anvyoomba msamaha
 
Mkuu ni PM namba ya grace.
 
Mkuu kwa ubaya uko wapi..?? anakuja unakula mzigo then akitoka ugomvi unaendelea..

Hio pia inaweza kuwa mbinu ya kula mzigo unapohitaji,,, Yaani ukitaka kula mzigo unatishia kumuacha then anakuja unapiga,, akiondoka kesi inaendelea..

Fanya hivo hadi pale mtakapoachana kweli
 
Safi sana Grace, kanyagia gia hiyo hiyo😀😀 hadi maji uite mma mkuu🏃‍♀️ hamna kuachana
 
Muwe mnatumia diplomasia katika kutatua mambo yenu.
Itaneni sehemu isiyofaa kufanya mapenzi ili kuepuka kushurutishwa
Grace ana akili. Anaujua udhaifu wa mshikaji. Wakikaa faragha tu msamaha unatoka. Ndo dawa sahihi kwa tatizo lake. Mwisho wa siku mshikaji ataamua yaishe tu. Grace ndani ya nyumba. Chezea dikteta Grace wewe!
 
@gilesi ametisha
 
Hyuo grace ni mhindi au mbongo isije ikawa grace ambaye ni jirani yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…