Grace usije tena gheto

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Gire yupo vizuri, muoe huyo
 
Kama mwanaume msimamo muhimu. Unafeli wapi mkuu.
 
[emoji16]Hivi unaisema Ccm wakati wa kampen au Grace wako maana sijaelewa hapo:
 
Kama mwanaume msimamo muhimu. Unafeli wapi mkuu.
Mkuu watu wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Akija nakosa usemi msimamo mbele ya hisia za mapenzi ni sawa na biskuti mbele ya mdomo wa mtoto
 
Nilikuwa na mwanamke wa style hiyo asee nilipata shida sana... Kuhama kikazi ndo kuliniokoa na sikutaka apajue ninaoishi mpaka leo ananitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo mapenzi yanatakiwa,kungekua na kina Grace kwenye kila wana ndoa

sidhani kama kungekua na kuachana na kupeana talaka,Grace n kiboko ya wabishi kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…