Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah watu wanakwepa vi gurunetiUnakosa hata jero ya vocha, unapoteza mpaka confidence halafu mademu ndio wanazidi kuwa wakali mamaaaee.
Zile illusion ulikuwa nazo kuwa ukimaliza chuo unapata kazi unamiliki ghetto kali na chuma chakutembelea zinayeyuka kama barafu mbele ya jua.
Ukimpigia mtu simu anakata hapo hapo hata kwa unataka kumpa salamu anadhani unataka kupiga ukware.