Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Status
Not open for further replies.

Adrian Stepp

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,591


Mkuu wa chuo cha kiislamu morogoro Hajjat Mwantumu Malale akitoa cheti kwa mwanafunzi bora wa chuo hicho!


Graduates hao!

Swali ni kwamba: hivi siasa inaweza ikasababisha hawa graduates wasionekane kwenye maofisi ya serikali??!! kwa mfano: Mtandao wa zantel watu wengi wanaukataa sababu ni wa zenji ati wakiislamu..imekaaje hii??!!
 

MODERATOR,
Umezoea kunifungia sasa hapa sisemi lolote, lol!
 
Si lazima kila anaye graduate akafanye kazi serikalini! na kama serikali inaona kuwa inawahitaji basi inaweza kuweka kanuni ambazo zitafanya watu wa imani zote wakiwemo Waislamu wanaovaa niqab waweze kufanyakazi serikalini.

Kuhusu Zantel basi ujuwe ni biashara, mfanyabiashara anayeijua taaluma yake halazimishi mtu! hivyo anayesusia huduma za Zantel kwa sababu imekaa Kiislamu anaweza kufanya hivyo, lakini Zantel kama mfanyabiashara nayo ina haki ya kuwalenga Waislamu ambao ndio watakaobakia kuwa wateja wake...msije mkaja kulalamika tu kuwa zantel matangazo yake yote yanawalenga Waislamu, discount zake zinawalenga Waislamu, sijui nini wanawalenga Waislamu.
 
hizo kashfa za kijinga na unataka mzozo usokuwa na manufaa. Hao ni graduates kama walivyo wengine kutoka vyuo vingine na wanafanya kazi ambazo hao wengine wanafanya maofisini.
 

Acheni mzaha hii sio graduation, mbona sioni zile kofia na majoho?
 
Si afadhali wao ni wanawake kuliko wale "wahitimu" wa staili ya kina P.Mulugo!
Kwanza kina Mulugo wamesomeshwa na Maaskofu...

Inawezekana, huyo ni mmoja-dunia nzima imeshikiliwa na maaskofu-USA over 70% ya shule ni za Catholics!!! Wenzako wengi wamepitia huko kwa maaskofu hivyo sio wa kubeza . Be realistic!!!
 
Acheni mzaha hii sio graduation, mbona sioni zile kofia na majoho?

kwa hiyo kofia na joho ndizo zinazoingiza maarifa kichwani mwako? hizo ni kasumba tu muhimu umehudhuria na kufaulu kozi yako kwa muda uliopangwa haya mambo ya majoho ni mbwembwe tu.
 
Vyuo vya kikristo haviitwi vyuo vikuu vya kikristo.

shule za kanisa na vyuo vyake wamelikwepa sana neno kikristo.

Hii imekaaje kuita chuo kikuu cha kiislamu au Tabata islamic seminary.

kwa wakristo wanaita majina ya kawaida kama Tumaini university au Junior na msolwa seminary.
 
Nchi nyingi za kiarabu wanawake kwa waume wanavaa joho rasmi hata kama ndani atakuwa na kanzu au baibui. Joho linavaliwa kwa juu kama kitambulisho rasmi cha vazi la kumaliza chuo kikuu lakini pia kwa kumbukumbu.

nasita kuamini kwamba wahitimu hawajaambiwa Joho ni vazi la makafir au wakristo.
 
Uanzishwaji wa Chuo kikuu cha ni wazi ni mwanzo wa kukimbia Ufisadi maofisini. maana watendaji wengi waliopita st wanaoenakana kuongoza kwa ufisadi hapa nchini. angalia CV zao utajua tu
 
Wahitimu woote duniani lazima wavae majoho ili waonekane ni wahitimu, sasa chuo kimeshindwa kukodi
hayo majoho au nayo ni ya kikristo!
Maana watu wana kasumba mbaya kweli!
 
Jaman wapo mtaan na mmojawapo mi ninae kitaa tunakomaa na maisha tu. Kiukweli ndg zangu wa kike taratibu zao za maisha ni ngumu sana,nakumbuka nliwah kuwa bank teller akaja binti wa kiislam na nguo zao zile anataka kuchukua pesa,akanipa kadi,nkamuomba atoe baibui nione sura yake kuvarify na picha,aligoma yan ilikuwa kazi nami nkakomaa nae,mwishoe akaamua kusepa bila kupata huduma
 
Kuna rafiki yangu anasoma hapo lia anatumia jina la kiislam
akikusimulia wanayofundishwa kuhusu dini nyingine utashangaa! Yani ni no upendo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…