Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Status
Not open for further replies.
View attachment 72160

Mkuu wa chuo cha kiislamu morogoro Hajjat Mwantumu Malale akitoa cheti kwa mwanafunzi bora wa chuo hicho!

View attachment 72161
Graduates hao!

Swali ni kwamba: hivi siasa inaweza ikasababisha hawa graduates wasionekane kwenye maofisi ya serikali??!! kwa mfano: Mtandao wa zantel watu wengi wanaukataa sababu ni wa zenji ati wakiislamu..imekaaje hii??!!


ISLAMABAD: Students of International Islamic University throwing their caps in a traditional way after 7th Convocation at Convention Centre.

Pakistani%20female%20Students%20International%20Islamic%20University%20ISLAMABAD.jpg


Students attending the 7th Convocation of International Islamic University at Convention Centre

IMG_0249.jpg


Pakistani%20girl%20Students%20International%20Islamic%20University%20ISLAMABAD.jpg


Students attending the 7th Convocation of International Islamic University at Convention Centre

Prime%20Minister%20Gilani%20addressing%20at%20International%20Islamic%20University.jpg


Prime Minister Syed Yousuf Raza Gilani addressing to the students during 7th Convocation of International Islamic University at Convention Centre.

Photo by Irshad Sheikh/app
 
Wamehitimu shahada ya kuchoma makanisa?sioni hata sura zao

أخي ترك هذه الشخصية التشهير الدين للشعب، بلادنا هو السلام فقط
 
View attachment 72160

Mkuu wa chuo cha kiislamu morogoro Hajjat Mwantumu Malale akitoa cheti kwa mwanafunzi bora wa chuo hicho!

View attachment 72161
Graduates hao!

Swali ni kwamba: hivi siasa inaweza ikasababisha hawa graduates wasionekane kwenye maofisi ya serikali??!! kwa mfano: Mtandao wa zantel watu wengi wanaukataa sababu ni wa zenji ati wakiislamu..imekaaje hii??!!

jamani, hata jicho linaonekana kwa shida!! je kama ni mwalimu atafunika jicho lote darasani? naombeni msaada jamani.
 
Chuakachara!umenifurahisha sana...kichwa yako inafanya kazi sana!wote mngekuwa hivyo.haya matatizo yasingekuwepoa.Umemzidi akili hata aliyeanzisha hiki chuo
 
Halafu utasikia.....mfumo Kristo,........wabadilike


View attachment 72160

Mkuu wa chuo cha kiislamu morogoro Hajjat Mwantumu Malale akitoa cheti kwa mwanafunzi bora wa chuo hicho!

View attachment 72161
Graduates hao!

Swali ni kwamba: hivi siasa inaweza ikasababisha hawa graduates wasionekane kwenye maofisi ya serikali??!! kwa mfano: Mtandao wa zantel watu wengi wanaukataa sababu ni wa zenji ati wakiislamu..imekaaje hii??!!
 
Wengi wanaosoma hapo ni ma inservice, afu usiombe kufanya kazi na hao jamaa wa hko chuo, walikuja field shulen kwangu, ilikuwa ni vituko! teaching capacity yao ni ndogo sana! wengi ni wale wa MEMKWA...wanaingia chuoni kwa njia ya matured entry!!
 
Watanzania wenzangu naomba tujifunze kujenga hoja za msingi hasa tunapoangalia dini. Mimi najua yafautayo:-

Moja ya masharti ya kusajili chuo ni pamoja kutobagua dini wakati wa kudahili. Hivyo, MUM inadahili wanafunzi wa dini zote. Hapo tunaona tu kwa sababu, wengi wa wanafunzi ni Waislamu,

Pili, mavazi ya Wanawake wa kiislamu yanayotakiwa kuvaliwa kazini ni yale yasioficha uso kama hijab. Hivyo, wote wenye kukubaliana na hayo utawakuta wanafanya kazi za serikali, na pia

Chuo kama cha kiislamu chenye watalaamu wengi wa lugha ya Kiarabu kingekua kiungo kizuri kwa nchi yetu kama kingekuwa universal katika udahili na kuendesha shahada kama za diplomasia.

Thank
 
hizo ulizotaja zinavaliwa kanisani hii nchi kila kitu kinapelekwa kikanisakanisa

Kwa hiyo wewe hizi unataka ziwe dressing code ya ofsini? Halafu mwenye shida atakuja kweli?
 
Inawezekana, huyo ni mmoja-dunia nzima imeshikiliwa na maaskofu-USA over 70% ya shule ni za Catholics!!! Wenzako wengi wamepitia huko kwa maaskofu hivyo sio wa kubeza . Be realistic!!!

kama JK
 
Uanzishwaji wa Chuo kikuu cha ni wazi ni mwanzo wa kukimbia Ufisadi maofisini. maana watendaji wengi waliopita st wanaoenakana kuongoza kwa ufisadi hapa nchini. angalia CV zao utajua tu

kuna kaukweli fulani hivi!
 
Jaman wapo mtaan na mmojawapo mi ninae kitaa tunakomaa na maisha tu. Kiukweli ndg zangu wa kike taratibu zao za maisha ni ngumu sana,nakumbuka nliwah kuwa bank teller akaja binti wa kiislam na nguo zao zile anataka kuchukua pesa,akanipa kadi,nkamuomba atoe baibui nione sura yake kuvarify na picha,aligoma yan ilikuwa kazi nami nkakomaa nae,mwishoe akaamua kusepa bila kupata huduma

mmh! Hii ni kazi kweli kweli
 
kilianzishwa ili kuondoa tabaka kubwa la tofauti lililopo kati ya ijumaa na jumapili
maana kuna wengine walikuwa na wasomi wachache sana
sidhani kwamba mr mkapa alikuwa na lengo la kutoa elimu, labda alitaka wasahau machungu ya vipigo alivyo wapa awamu ya tatu!
ndo maana nakuwa na shaka na wahitimu wake!

Basi kama mkapa alikuwa na nia hiyo kapotea. maana kawapiga waislam hatimae na yeye anaona hata haya kujitambulisha kwa watz kama alikuwa rais. UFISAI KILA KONA ANANUKA. UNACHEZA NA DINI YA MUNGU WEWE?
 
hicho chuo wanapomaliza wanakuwa na ujuzi gani? Unauhakika anaepewa cheti ndiye alisoma hapo kama anajifunika kiasi hicho? Sheria ya kumwapisha mtu wa aina hii inasemaje?

ujuzi alionao ni kupinga ufisadi. Vyuo vya kanisa ujuzi wanaopata haoenekani huku ufisadi ukishika kasi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom