Graduates wa chuo kikuu cha kiislamu morogoro huwa wanaenda wapi?

Status
Not open for further replies.

Voda, Tigo na Airtel hazina coverage kubwa zanzibar kama ilivyo Zantel.

sidhani kama ina uhusiano na dini bali suala hapa litakuwa hii ni kampuni yetu kwa kila upande wa Muungano
 
Kitongoli umeiona hii?
 
Kuna rafiki yangu anasoma hapo lia anatumia jina la kiislam
akikusimulia wanayofundishwa kuhusu dini nyingine utashangaa! Yani ni no upendo!
hii inanikumbusha Jirani yangu alimpeleka mtoto wake katika shule ya kanisa. huyo jirani aliamua kumtoa mwanawe baada ya walimu wa shule hiyo kupandikiza chuki kati ya watoto wa kiislam na wakiristo
 
Kuna rafiki yangu anasoma hapo lia anatumia jina la kiislam
akikusimulia wanayofundishwa kuhusu dini nyingine utashangaa! Yani ni no upendo!

Kuna ofisi inaajiri wataalamu wa chuki dhidi ya binadamu wengine?

kumbuka chuo tumekijenga wote kwa kodi zetu lakini wanaweza kutumia muda mwingi kufundisha chuki kwa wengine badala ya kuzama maabara ya sayansi kuzalisha wataalamu.
 
We ni great thinker au?Inawezekana una wadudu ubongoni pia unaongozwa na chuki dhidi ya waislamu.Hakika hili si jambo zuri kuliweka hapa.
 
hii inanikumbusha Jirani yangu alimpeleka mtoto wake katika shule ya kanisa. huyo jirani aliamua kumtoa mwanawe baada ya walimu wa shule hiyo kupandikiza chuki kati ya watoto wa kiislam na wakiristo

unaoogopa nini kuitaja shule hiyo wakati hapa mjadala wa chuo kikuu cha kiislamu uko wazi na kinatajwa.
 
Swali lake la msingi sana! Kwani hata mimi sijawahi kuona huko Bongo ofisi za SERIKALI wanaingia na hizo nguo, lakini huku nilipo kitu cha kawaida tu.
 
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu
 
kwa usahihi.

ulimuomba afunue uso (Hijab) kuthibitisha sura yake na iliyopo kwenye bank card yake.
 
Ndo maana nasema Chadema mnadharau uislamu sana.Iko siku mtajua Waislamu ni akina nani endeleeni na huo uhuni wenu

vita haina macho. Kama vita ni rahisi Isarel na palestina mbona haijaisha? Wapalestina sio waislamu? Waarabu si waislamu kuisaidia palestina kuingamiza Israel.

Dunia haiwezi kuwa mahala salama pa kuishi kwa ubabe.
 
Swali lake la msingi sana! Kwani hata mimi sijawahi kuona huko Bongo ofisi za SERIKALI wanaingia na hizo nguo, lakini huku nilipo kitu cha kawaida tu.

Asilimia zaidi ya 75 ya ajira nchini ni sekta binafsi ambako kuna wamiliki wa dini mbalimbali na wasio na dini wao wanahitaji output tu.

Suala la mavazi halina nguvu na ushawishi katika sekta binafsi ni rahisi kulizungumzia katika sekta ya umma tu ambayo ni ndogo sana katika mzunguko wa uchumi. Ni muhimu kujiandaa kufanya kazi katika mazingira yote.
 
Wakati wa kupiga picha ya kadi je nako hakuvuwa hilo Ninja Dressing? Halafu na makahaba wengi siku hizi naona hilo vazi wanalipenda sana, wakitoka makwao wanavaa Ninja Dressing kumbe ndani wana vimini. hili sijahadithiwa nimejionea kwa macho yangu.
 
Vitu vingine ni vya kijinga kabisa, sasa Mwanamke wa namna hii kama kuna ajila kwenye majeshi yetu ataweza kufanya kazi? Acheni kuwanyanyasa Wanawake wa Kiislamu kwa kuiga mila za Waarabu wasiothamini Wanawake.
 
Kaaaaaaaazi kweli kweli!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…