Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Tatizo kubwa ni kwamba tunataka kufanya vitu vinavyoendana na hadhi fulani pasipo kuangalia maslahi. Ndio maana ni rahisi kuona graduates wenye vidgree waliojiajiri basi wakifabya biashara online, wakiuza simu, wakiuza mikoba, wakiuza nguo za kiume na sasa wakiingia kichwa kichwa kwenye kilimo wakati kuna biashara au ideas ndogo ndogo mtu akizifanyia kazi zinaweza kumpa faida kubwa na kuwa na mzunguko mkubwa wa hela ukilinganisha na hizo.
Mbavu sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787]Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.
Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforums aliwahi tuambia mafanikio huanza pale Uoga na Aibu zinapoondoka
Tuna hivi vitu moyoni.
1.Wazazi watanielewa kweli kijana wao mwenye Degree?
2.Hivi Shemeji yangu akisiki itakuwaje?
3.Hivi Mchumba wangu atanielewa kweli kwamba ni mimi niliyekuwa Chuo?
4.Marafiki zangu watanielewa kweli?
5. Majirani vipi?
Combination ya hivyo vyote humfanya mtu aone bora akae tu kisingizio kiwe sina mtaji
Unaondoaje AIBU na UOGA?
1. Jitoe ufahamu kabisa, weka pamba masikioni hapa na pale ambapo inafikia stage wanakuona kama unerukwa na akili ila wewe na Mungu wako ndio mnajua unacho kifanya.
Hii hatua ni ngumu sana kujitoa ufahamu sio mchezo manake inabidi kweli uwe na roho ya Chuma au Roho ngumu sana.
2. Hama nenda mbali na wanako kujua. Kama home ni Korogwe pale na wanakujua ulikuwa Chuo kikuu basi nenda Karatu Arusha anza makazi pale fanya chochote hata kuuza vocha na sigara na karanga.
Hii ni njia nzuri sana manake unakuwa mbali sana na unakuwa kivyako vyako au na mshikaji wako na mnafanya mambo.
3. Usijaribu kumshirikisha mtu yoyote yule hata Wazazi wako kwamba unataka kufanya nini au unafanya nini bali waje kujua wenyewe baadae sana.
Kitendo cha kuwaambia Wazazi au Ndugu na Jamaa na Marafiki kwamba kwa sasa nataka nifungue kibanda cha kuuza Vocha wengi hawatakuelewa na watakukatisha tamaa balaaa.
Hii inachangiwa na imani kwamba Chuo kikuu ni ni levo tofauti.
4. Jitenge na ma-met zako au Marafiki walio na kazi watakutia Uoga zaidi manake ukiwa unawaona wanatokea kazini utaumia zaidi.
5. Washikaji na ndugu na Jamaa wakiwa wanakupigia pigia simu wewe wajibu in short una kibarua unafanya sehemu. Ili kukata mazungumzo manake wakipiga ukaawambia unauza Vocha Dah, hawatakuelewa kabisa kabisa.
Jitahidi kuwakatisha na wajibu in short tu.
MWISHO
Achana na kwamba una Degree hata ikibidi watu wengi waambie hujaenda shule au uliishia tuu Form four.
Ondoa Aibu na Uoga wacha watu wakuone kama umechanganyikiwa, wacha wakuseme, wacha wakucheke, wacha wakukebehi ila mwisho wa siku unajua unacho kifanya.
Kwa sasa Naishia hapa.
MAFANIKIO HUANZA PALE TU AIBU NA UOGA VINAPO TOWEKA
sawa rafiki.Hapana rafiki bado!!!
Thread nzuri nzuri kama hizi kama hujaniona uwe waniita tu: shule haina kikomo
Na usipojitoa ufahamu hutoboi haki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]Hilo swala la aibu ni kama tope zito na degree ni kama gari isiyo 4 wheel drive [emoji23][emoji23][emoji23] ambayo imezoea lami tu.
Ili kulikabili hilo tope inabidi kujitoa ufahamu na kuchukulia kama gari ina 4 wheel drive tu bila kujali itakwama au la ila cha msingi ipite tu. Huo moyo wa kukaza umechelewesha wengi kutoboa kimaisha na kuanza kujitegemea na wengi ndio hujificha kwenye kivuli cha kukosa mtaji. Ego zitatuua njaa hakiyanani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naungana na mtoa mada kwenye kukimbia mji au mtaa wa nyumbani ili kufanya yako kwa uhuru maana hata mimi imenisaidia hio [emoji23][emoji23][emoji23] watu hawatakiwi kujua unapambanaje na hata mambo ya kuji expose kwenye mitandao ya kikuda unayaweka kando.
Yaaan mimi ndo siwezi kujilipua nina maaibu na mauwoga kama yote[emoji16][emoji1787][emoji1787]Hili wazo nilishawahi kulipata nikalipotezea sijui nilifufue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Niliwahi kuishi maeneo flani,tajiri mkubwa wa lile eneo alitajirika kwa kuanza na biashara ya kuuza vitumbua,alikuwa anatembeza mkono kwa mkono nyumba kwa nyumba,alipofanikiwa akaendeleza mambo mengine,maduka,hoteli n.k.Baada ya miaka kadhaa nilikuwa kwenye mkoa mwingine nikamshawishi mtu mmoja naye aanzie kwenye biashara hiyo kwani alikuwa hana mtaji wa biashara,mpaka leo haongei na mimi anasema nimemdharau sana...
Kujilipua muhimu sana tena afadhali ungeanza mapema. Mi najutia miaka yangu niliopoteza kwenye ubrazameni. Ungekuta nimeanza harakati mapema ningefikisha 30 nikiwa mjengoni kwangu kabisa.Yaaan mimi ndo siwezi kujilipua nina maaibu na mauwoga kama yote[emoji16][emoji1787][emoji1787]
hatari sana, hatua ya kwanza nilijitoa facebook 🤣🤣🤣Na usipojitoa ufahamu hutoboi haki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseee kwaiyo kaona hyo ni kazi ya wasiosomaa..wakati sahv kuna watu na degree zao wanaendesha bodaJuzi imepita Nissan Primera moja iko mafuta sana. Ghafla nikaona imerudi mpaka nilipokua. Jamaa akashusha kioo.
Jamaa: Oya niaje?
Mimi: Freshi chief, karibuu (Hapo
nimemtambua, niliskulinae)
Jamaa: Sikuhizi ndo uko hapa?
Mimi: Ndio chief, shuka nikupigie maji ndinga
hiyo, buku tano tuu.
Jamaa: Mwanangu acha kutusanif bwanaa, we
jamaa ulikua na maakili ulikua
unatukimbiza kwenye namba.
Mimi: Akili zangu kwasasa zimeishia hapa.
Jamaa: We si nilisikia ulikua unasoma
madegree huko. We ulitakiwa uwe
mabenki hukoo, maana yale mahesabu
nomaa
Kufupisha story:
Jamaa amenikuta car wash naosha gari za watu akakataa kukubali akirefer ufalme wa shule kua sikutakiwa kua pale.
Hiyo ndo jamii inayomzunguka graduate. Tunahitaji kujikana ili uishinde.
Hatua ya pili???[emoji849]Hahahaha
hatari sana, hatua ya kwanza nilijitoa facebook [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah hautaifurahia maana inasikitisha,Hatua ya pili???[emoji849]
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseee kwaiyo kaona hyo ni kazi ya wasiosomaa..wakati sahv kuna watu na degree zao wanaendesha boda
Watakuelewa tu sikumoja..kaza buti mkuuAcha tu mkuu. Kwa hili wazo nilipingwa mpaka na ndugu.
Siku moja sister ananiambia "Hivi kweli Abr.. umekosa kazi huko kwenye mabenk, mbona ufaulu wako mzuri tuu" "Omba hata kufundisha shule, walimu wa Mathematics wachache".
Nashukuru Mungu najisikia huru kufanya kitu chakwangu mwenyewe.
Ohoo sema bana huezi jua itatu inspire ambao bado tuna uwogaHahah hautaifurahia maana inasikitisha,
mzee nipe kibarua hapo carwash nisavaivu kidogo maana hali yangu kame sana now.Juzi imepita Nissan Primera moja iko mafuta sana. Ghafla nikaona imerudi mpaka nilipokua. Jamaa akashusha kioo.
Jamaa: Oya niaje?
Mimi: Freshi chief, karibuu (Hapo
nimemtambua, niliskulinae)
Jamaa: Sikuhizi ndo uko hapa?
Mimi: Ndio chief, shuka nikupigie maji ndinga
hiyo, buku tano tuu.
Jamaa: Mwanangu acha kutusanif bwanaa, we
jamaa ulikua na maakili ulikua
unatukimbiza kwenye namba.
Mimi: Akili zangu kwasasa zimeishia hapa.
Jamaa: We si nilisikia ulikua unasoma
madegree huko. We ulitakiwa uwe
mabenki hukoo, maana yale mahesabu
nomaa
Kufupisha story:
Jamaa amenikuta car wash naosha gari za watu akakataa kukubali akirefer ufalme wa shule kua sikutakiwa kua pale.
Hiyo ndo jamii inayomzunguka graduate. Tunahitaji kujikana ili uishinde.
Hili wazo nilishawahi kulipata nikalipotezea sijui nilifufue