Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mada nzuri mkuu,nakazia kwa ulivyovieleza:-
- Vunja mawasiliano na uliomaliza nao
- Usipende kufuatilia wale uliomaliza nao wameajiriwa wapi
- Ishi wewe kama wewe
- Weka vyeti pembeni
- Tekeleza wazo lolote litakalokuingizia kipato lakini usivunje sheria