Graduates wengi mkiweka aibu na uoga pembeni, basi mtaani mnaishi

Hata hiyo ajira ukiipata kuna manyanyaso usipime hasa kama ni mtu wa maendeleoa heee! utakoma

ukiwa bwegebwege hivi kama mlevi, teja, utabaki salama.
but ukienda kusoma kuchukua Mastres umenunua kigari, nyumba weee! unakatiwa mshahara ghafla, kwa muda usiojulikana maksudi tu, ili ukate tamaa ya kusoma. yaani kuna watu huko Duniani ni usipime Bora ujizoeze kuuza Vocher, na sigara haitakusumbua sana.

ngoja jiwe awakomeshe.
 
Tatizo naona nimechelewa sana kuanza
Kama hujafa me naamini bado hujachelewa hebu fikiria obama kaanza urais akiwa na miaka 47 na kastaafu akiwa na 55 lakini trump kwanzaa ndio kaanza akiwa na 70

Kuna watu wanakua wakurugenzi(C.E.O) wakiwa na umri wa miaka 30 na anakufa akiwa na 40 na kuna mwingine anaanza kuwa C.E.O akiwa na miaka 40 na anakufa na miaka 90

Maisha haya kila mtu ana time line yake hilo jambo lako we lifanye hata usisite kabisa na hujachelewa labda kuwe kuna sababu ngumu kama za kiafya.
 
Asante kwa ushauri kuna jamaa mtaani kwetu alinifuata akaniambia mkuu toa hela kidogo tuanze kukaanga samaki ebwana niliona aibu sana nikagoma baadae yule jamaa akaanza kuingiza 7000 kwa siku kama faida na alianza na mtaji wa laki huku me nikisambaza bahasha zangu daah nilijiona fala sana,haya madarasa tuliyopitia yana tuharibu sana kiukweli mtaala wetu wa elimu unahitajika uwe somo la ujasiriamali kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu tena iwe ni lazima kulisoma.
 
Kuna kitu kinaitw Fear of Uknown na pia ukijumlisha na Aibu basi mambo huwa hivyo.
 
Kwenda kusoma nako ni uoga wa kuogopa Chalange. Make mtu ili aizikwepe Challange basi anaenda kusoma.
 
Asante
 
Kweli kabisa wakati mwingine uoga Sio mzuri!
 
mkuu una akili sana, umeongea madini kuntu!
 
Point kabisa zilizoshiba hizi. Sio kwa graduate tu, hata kwa baadhi ya wafanyakazi
 
Ungeungana nae we jamaa ulifeli banaa! Mie mtu akiwa positive hata anachokifanya kitaonekana cha kipuuzi nitam support.
 
NIliwahi kwenda Ughaibuni, wakati nacheck-in hotelini, RECEPTIONIST aliyenikuwa anachikua details na kunipa entry card niliambiwa Ni PhD Holder. Nilitahamaki
 

Sisy angu naye yukogo dar miaka nenda rudi..maisha magumu! Nikamwambia why usiondoke dar ukaend mkoa mwingine?..akaniambia ehee...so nibebe na magodoro na vyombo nihame mkoa..ehe nikifika huko ndo unaona kuna mwanga?..hizo godoro nabebaje😆😆! Alinipa mashushu nika😷
 


Salute mkuu!🙌🙌ni zaidi ya mfano wa kuigwa!
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…