Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

Mitano Tena inatosha...twende na MAgu..Ajira zitafunguka
 
Serikal haiwezi ajil watu wote , wanaotoka vyuo vikuu kila mwaka ni wengn mno,
 
We acha tu, nna gundu na majobless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Lakini sio vizuri kwachomolea. We tafta jobless wako mmoja anaeleweka mpange maisha maana kimsingi wanaume wengi sikuhizi kazi hawana. That doesn't mean hawa deserve kuwa na wake au wapenzi D. Kuwa positive and date a honest one.
 
Huna ulazim wa kucoment JF inawatu weng sn wanaofaidika kupitia experience za watu kam hvi.....acha uana kijiji
 
Lakini sio vizuri kwachomolea. We tafta jobless wako mmoja anaeleweka mpange maisha maana kimsingi wanaume wengi sikuhizi kazi hawana. That doesn't mean hawa deserve kuwa na wake au wapenzi D. Kuwa positive and date a honest one.
Best comment of the day!
 
Mbona unatoa mifano isiyo na uhalisia ndugu? How possible mtu una kipato cha chini ya 100,000 kwa mwezi halafu unalipa kodi 100,000...mkuu badili mfano wako aisee..

Halafu inshu sio kukataa kujishughulisha na kazi ngumu. Hakuna dhambi mbaya kama kumshauri mtu kitu ambacho hujawahi na hauwezi fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…